Ila nifafanulie kidogo kwenye at least 20m, hizo ni kununulia dawa tu ama kukodi na kutransfom jengo na dawa za kuanzia na vibali
Ila nifafanulie kidogo kwenye at least 20m, hizo ni kununulia dawa tu ama kukodi na kutransfom jengo na dawa za kuanzia na vibali
Hazina faida kwa wakati huuuu
Kama zilivyo biashara zingine,changamoto hazikosekani!Cha kuzingatia ni kuwa smart na kufanya vitu bila kukurupuka..location siku zote huwa ni kitu muhimu sana kwenye hii biashara bila kusahau ubunifu!faida utaiona tu mkuu.
Ahsante mkuu, kwa mda mrefu nilikuwa nafikiria namna ya kuanzisha hii biashara, kuna haja ya mm kuwasiliana na ww kwa muongozo mzuri zaidi!
Ila umenitisha kuwa natakiwa kumlipa pharmacist kiasi kisichopungua million 1 kwa mwezi na hiyo huenda anafanya kazi kwa party time!
Iko haja ya mm mwenyewe kwenda chuo nikasomee hii taaluma walau niwe na certificate!
Mkuu ata ky jelly, condoms, nayo utaneda hospital kuna on the coubnter mdecine nyingi tu ambazo mtu huhitaji kwenda kupanga foleni hospital.Magufuli kasema kila hospital itakua na dawa za kutosha sasa nani atanunua?
Pole sana Mkuu!Kwa taratibu zilivyo mfamasia wa hilo eneo ndiye mwenye dhamana ya mambo yote, kama amebanwa sana anaweza kukupa "go ahead" kwa njia ya simu iwapo tu kama atakuhoji na kujiridhisha na maelezo yako. Hatua muhimu sana ni premise inspection ambayo lazima afike physically kwenye eneo lako ulilofanya renovation.Mkuu sonaderm, asante kwa ufafanuzi wako mzuri sana. Nahitaji muongozo wako, nimepata fremu na ningependa kufanya biashara hii, ila kwa mfamasia amekua akinizungusha zungusha kuja kuona mazingira kama yapo katika standard zao, vipi kuna jinsi nyingine naweza kufanya?
Asante mkuu, ishu ni kwamba nimejaribu kufanya baadhi ya mapitio ya taratibu za ufunguaji pharmacy kupitia machapisho mbalimbali ya TFDA, kuna baadhi naona eneo nililopata frame yanakidhi, kuhusu renovation si kwamba anatakiwa apaone kwanza ndo nianze kufanya renovation?Pole sana Mkuu!Kwa taratibu zilivyo mfamasia wa hilo eneo ndiye mwenye dhamana ya mambo yote, kama amebanwa sana anaweza kukupa "go ahead" kwa njia ya simu iwapo tu kama atakuhoji na kujiridhisha na maelezo yako. Hatua muhimu sana ni premise inspection ambayo lazima afike physically kwenye eneo lako ulilofanya renovation.
Asante mkuu, ishu ni kwamba nimejaribu kufanya baadhi ya mapitio ya taratibu za ufunguaji pharmacy kupitia machapisho mbalimbali ya TFDA, kuna baadhi naona eneo nililopata frame yanakidhi, kuhusu renovation si kwamba anatakiwa apaone kwanza ndo nianze kufanya renovation?
Nashukuru sana mkuu. Endelea kutufumbua macho hata kwa makadirio ya mzigo wa kuanzia unaweza kugharimu shilingi ngapi na hata whole sellers ambao wana bei nzuri na dawa nzuri.Ki utaratibu ni muhimu akaja kupaona!lakini kama ujuavyo usafiri na geografia ya eneo lako inaweza kumpa changamoto mfamasia kufika!cha msingi endelea kufanya naye mawasiliano hata kwa kwenda ofisini kwake mara kwa mara!