Duka ambalo 100% wateja ni wanawake

Hichi kiduka cha usiku bado kina exist jamani? Nataka nikamnunulie mwandani wangu zawadi za usiku.
 
Nimeona duka mja maeneo ya kariakoo mtaa wa livingstone na udowe wateja ni wanawake kwa 100% hili jambo nilianza kufuatilia toka 2009
leo nalileta kwenu nitapata majibu
jamvi daima halikosi makliaji
Au wanauza pampaz tu?
 
Wanauza na chupi za maua ya kati ndio maana wateja ni wao tu
 
Back
Top Bottom