mcbenfrank
Member
- Mar 9, 2006
- 11
- 4
wandugu habari ya kwenu kwa pamoja:
leo katika pita pita yangu mtandaoni, nimejaribu kupitia tovuti ya EAC (East African Community: Web Portal na
LatinHackTeam Ownz Your Box
leo katika pita pita yangu mtandaoni, nimejaribu kupitia tovuti ya EAC (East African Community: Web Portal na
LatinHackTeam Ownz Your Box
..We Are..
infEkt - Adminp4nic - eCORE
Againts governments corruptions !!
your security.. get down !!
Follow us @LatinHackTeam @infEkt1
Duh!! nikasema balaa gani tena hii.. anyway my teke ni kutaka kuraise a security concern on such critical infrastructure maana tayari hii inatuonyesha wazi namna a security flaw in your system can endanger your assets..