Duh! Tutaurithi kwl uzima wa milele!

Hussein J Mahenga

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
745
633
Umeme ulkatka kanisani,ghafla ukarudi! Mchungaji akasema,"kumamaye,umeme huo umerudi" Alickika mzee wa kanisa akiuliza kw hasira,"ni ****** gani anatukana kanisani?" Mmama mmoja muumin kwa hekima na taadhma akawafuata na kuwaambia,"jamani acheni ukuma bac kw nn mnatukana matusi wkt ninyi nyote mmeokoka!"Mm kuurith ufalme wa mbinguni n sawa na ngamia kupenya ktk tundu la sindano!
 
Back
Top Bottom