Duh! Soma hiyo halafu toa ushauri wako ungefanyaje?

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
hapa mtaanii kwetu nina rafiki kaamia mwaka jana sasa, kufika katika ofisi anayo fanyia kazi kukawa binti mmoja akavutiwa nae hivo kuanza uchumba sasa wakafika katika hatua ya kuoana binti ni mpare jamaa ni mbena sasa jamaa alikuwa na mtoto wa nje 1 lakini aliogopa kumwambia mchumba huyo kwa kuhofia binti huenda angemuacha hivo alipanga aje kumwambia baada ya ndoa basi mikakati ya ndoa baina yao ikakamilika na ndoa ikafanywa mwezi wa 2 mwaka huu baada ya mwezi kama mmoja ivi jamaa akaona amwambie ukweli mkewe huyo baada ya siri kwa mudamrefu , ikabidi jamaa aandae siku ya kumtaarifu mwenza kuhusu mtoto wake huyo, lakini chaajabu baada ya jamaa kumwambia mwenzie swala hilo kibao kikageukia upande wake kwani bint naye akamwambia mume wangu hata mimi pia naomba niwie radhi kwa kuiweka siri hii mimi pia nina watoto wawili mmoja nilimpata nikiwa secondary wa kike na mwingine nikiwa chuoni wa kiume lakini woote wako kwa baba zao sasa jamaa hana hata cha kufanya kwani mzigo alio panga kuutua akidhani atamaliza safari ndo kwanza km zimeongezeka ushauri plz
 
Mbona sioni tatizo hapo?Kama aliona yeye kuwa na mtoto ni halali inakuwaje achanganyikiwe kusikia mwenzie ana mtoto?Binadam bwana tunapenda kufanya mambo lakini tukifanyiwa hayohayo ni mbaya!!
 
the boss'' kama huwa hujichanganyi mitaani basi ni halali yako kuona hili swala ni comedy lakini sikutuma iwe comedy kama unavo fikiria soma kwa makini elewa nadhani utajua sio comedy siwezi tuma comedy.plz kwa wale walio elewa naomba mtoe ushauri wenu wa busara kwa atakae ona haimuhusu asipoteze mda kuchosha vidole vyake kwa vile itakuwa haimuhusu.
 
duh hiyo kali..anywyz i think its important wakijadili yeye na mkewe the next step after the revelations...they might reach a mutual agreement as they are both standing on a common ground.
 
Dah, mi ningemuacha tu..
Yaani yeye ana wawili halafu mimi nina mmoja? Hakuna uwiano hapo...
Ningechapa Lapa Arifu..
 
duh hiyo kali..anywyz i think its important wakijadili yeye na mkewe the next step after the revelations...they might reach a mutual agreement as they are both standing on a common ground.

Hamna common ground hapo, ingekuwa wote mna idadi sawa ingeeleweka...
Lakini hili la Mke kuwa na ma-kid wawili kutoka baba tofauti lisingenishawishi kubaki kwenye hiyo ndoa Aisee..
Kwa mantiki iliyopo hapo huyo Mke atakuwa ni mzoefu kumzidi Jamaa..

Tafakari, chukua hatua...
 
Ndio maana mimi napenda arranged marriages
Mabomu yakushtukizana kama hivi yasingeweza kutokea
Familia za pande zote mbili hufanya research
na matching ya hali ya juu hufanyika, kuepusha mikasa kama hii
 
the boss'' kama huwa hujichanganyi mitaani basi ni halali yako kuona hili swala ni comedy lakini sikutuma iwe comedy kama unavo fikiria soma kwa makini elewa nadhani utajua sio comedy siwezi tuma comedy.plz kwa wale walio elewa naomba mtoe ushauri wenu wa busara kwa atakae ona haimuhusu asipoteze mda kuchosha vidole vyake kwa vile itakuwa haimuhusu.

Ndio ZE KOMEDI waliwahi kuigiza. Inaonesha wewe ni mpenzi mzuri wa kipindi hicho.
 
Hapa ndo inapoonesha jinsi ilivo vizuri kuwa muwazi kabla ya kufikia hatua hiyo ya ndoa.... akubaliane na matokeo ya siri yake na akae kwa upendo mkubwa na mke wake!!
 
tehetehe hakuna haja ya kuzaa hapo mnakusanya wa pande zote mbili mnaendelea kulea hahahahahahahaha
 
sasa L O O K shida ni nini??? ni watoto au ni kuwa mke alimegwa zamani??? Hivi jiulize wale wote ulio-sex nao kabala ya ndoa wangezaa ungekuwa na watoto wangapi???

USHAURI WANGU: Leeni watoto wenu wote watatu - wapendeni - jipange yawezekane wa baba wa hao watoto wawili wakawahitaji watoto wao - na utabaki na huyo wa kwako - otherwise - UKIPENDA BOGA - PENDA NA UA LAKE
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom