Duh!!! Sitaki kulia, nataka kucheka!!!

reandle

JF-Expert Member
May 6, 2009
11,168
8,142
Nahisi hii thread, hapa si pahala pake lakini nahitaji immediate response kwa kile ninachoamini kwamba forum hii (hoja mchanganyiko) ndio inayotembelewa zaidi na wanajamii-am sorry in advance!! Unajua nini, nahisi kama wazungu wanataka kunipiga changa la macho macho vilee, kv washanihisi mlugaluga!! hebu niambieni, hususani wale waliopo Uingereza, mnafahamu chochote kuhusu benki inayoitwa "Standard Co-Operative Bank?" Honestly, hadi sasa hawajaniomba hata senti moja yangu, lakini nahofia kana kwamba kuna mahali wananilia mingo!!!!!!! Shaka yangu ni kwamba wananilia mingo kwenye online visa/work/resident permit application!!!! in addition to awareness abt Standard Co-Operative Bank, kuna mtu anaweza kunipatia procedures, including website and email for online visa application for the UK HOME OFFICE AUTHORITY in UK? nataka kulinganisha information walizonipatia jamaa na zile nitazopokea hapa!!! Bongo, hata buku 20 nyingi, kwahiyo naomba msaada wenu waungwana!!! In short, jamaa wanasema wana kazi ya ku-offer, na baada ya kuendelea kuwasiliana nao for almost two weeks now, naona kama panataka kufika patamu-ama pa KULIA hadi domo likaribie kuchanika, au KUCHEKA, hadi gego la mwisho lionekane!!! SITAKI KULIA, NATAKA KUCHEKA!!!!!
 
Usiogope..ngoja nikusaidie kucheka..Kwiii!! kwi! kwiikwiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
 
heheheheh!!! income yangu kwa mwezi 150,000/=!!! sa yote hiyo si inaweza kuishia kwenye application zao za kupigana changa la macho!!!!!
 
Bure ni ghali sana...Ingia huku ukiwa cautious kama ulivyo...Vinginevyo i wish you a good success.
 
malizia kucheka basi!maanake hata content zima ya thead yako imemezwa na kicheko
 
jaribu kutumia search engines kadhaa!sioni kama unachokiomba ni ''that-much-confidantial''
You are right mkuu, lakini siku hizi watu wanatengeneza website zao na kutofautisha kidogo sana na official websites!!! usipokuwa makini, especially usipojua official website lazima uingie kwenye pirate websites!!! But all in all, i will work for ur advice.
 
Nahisi hii thread, hapa si pahala pake lakini nahitaji immediate response kwa kile ninachoamini kwamba forum hii (hoja mchanganyiko) ndio inayotembelewa zaidi na wanajamii-am sorry in advance!! Unajua nini, nahisi kama wazungu wanataka kunipiga changa la macho macho vilee, kv washanihisi mlugaluga!! hebu niambieni, hususani wale waliopo Uingereza, mnafahamu chochote kuhusu benki inayoitwa "Standard Co-Operative Bank?" Honestly, hadi sasa hawajaniomba hata senti moja yangu, lakini nahofia kana kwamba kuna mahali wananilia mingo!!!!!!! Shaka yangu ni kwamba wananilia mingo kwenye online visa/work/resident permit application!!!! in addition to awareness abt Standard Co-Operative Bank, kuna mtu anaweza kunipatia procedures, including website and email for online visa application for the UK HOME OFFICE AUTHORITY in UK? nataka kulinganisha information walizonipatia jamaa na zile nitazopokea hapa!!! Bongo, hata buku 20 nyingi, kwahiyo naomba msaada wenu waungwana!!! In short, jamaa wanasema wana kazi ya ku-offer, na baada ya kuendelea kuwasiliana nao for almost two weeks now, naona kama panataka kufika patamu-ama pa KULIA hadi domo likaribie kuchanika, au KUCHEKA, hadi gego la mwisho lionekane!!! SITAKI KULIA, NATAKA KUCHEKA!!!!!

Wakuu, msaaaaaaadaaaaa!!!!!yeyote mwenye ufahamu banaa!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom