Duh!!!... kweli Vishindo vya mashua havishtui bahari...literally!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Balaa la Hurricane Sandy!...

slide_260253_1702568_free.jpg
 
Tubaki kusikia haya yanatokea kwa wenzetu maana yakitokea kwetu ni maafa makubwa,wenzetu miji yao imepangwa hivyo ni rahisi kufikia watu tofauti na sisi ambao tumejenga karibu karibu hata pa kupitisha gari hakuna.
 
Mungu anatulinda bana....
Uwezo wetu wa kukabiliana na majanga (hasa ya asili) ni mdogo mno.
Sana sana ingekua bonge la sapraiz......

Tubaki kusikia haya yanatokea kwa wenzetu maana yakitokea kwetu ni maafa makubwa,wenzetu miji yao imepangwa hivyo ni rahisi kufikia watu tofauti na sisi ambao tumejenga karibu karibu hata pa kupitisha gari hakuna.
 
Obama alikatisha kampeni akaenda kutembelea maafa New jersey.
Na amejichukulia ujiko kwa jinsi alivyoshughulikia maafa hayo which means ameoffset ile issue ya benghaz.

Vilevile hali inaanza kueleweka huku Newyork stock exchange wakijiandaa kufungua.
 
Back
Top Bottom