Duh, kumbe NATA ni bonge la mjasiliamali...!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,393
Haya dada tumeona, japo umejichimbia viunga vya MAPINGA huku BAGAMOYO

3956246-THE_SHEBEEN_Africa.jpg
 
NATA ni mwana JF mzoefu, lakini sikujua kama ana viunga vya minazi huko Mapinga Bagamoyo, pamoja na duka kubwa la bidhaa mbalimbali.... Hongera sana dada.......LOL
 
Last edited by a moderator:
mzee Mtambuzi usinitag siredi hii weekend nshaanza majukumu mie lol-mtambuzi kumbuka majina yanafanana watu wasianze kum PM nata wawatu bureeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
....Weye ulikuwa hujui Mtambuzi!!!? Halafu kwenye kilimo kwanza yuko kwa sana tu tena kwa kilimo cha kileo si kile cha mwaka 47...Mwache NATA aende zake.
 
Last edited by a moderator:
Nata ipi? nata ya mkoani mara au ya botswana? nina hakika hiyo picha imepigwa nata, botswana na inaelekea mpigaji alikuwa kwenye barabara ya francistown - kasane karibu na junction ya kwenda maun. mahala hapo napatambua sana ni kwa wakwe zangu, opposite na hiyo nyumba upande wa pili wa barabara pana nyumba ya mama mkwe wangu ambayo ipo nyuma ya kituo cha mafuta na ule mgahawa wa wasafiri. JF ni kiboko mtu unaweza kuletewa picha ya chumbani kwako hapa!!! LOL
 
NATA ni mwana JF mzoefu, lakini sikujua kama ana viunga vya minazi huko Mapinga Bagamoyo, pamoja na duka kubwa la bidhaa mbalimbali.... Hongera sana dada.......LOL

Nia yako kunisogezea Takukuru karibu yangu.lol!
 
Back
Top Bottom