Duh kmbe kwel. . . . . .

Dah kweli mko makin naomba kusema kuwa mwanamke ana gharama kama ifuatavyo tukianza kwa kuangalia mwili wake 2
Kichwa
nywele zaitaji kwenda salon
nyusi zahtaj kutindwa na kupakwa wanja, kope mascolour, mdomo lipstik, sura poda na makeup, masikio heleni ziczopngua pair 2, puani kipini shingoni cheni kifuani cdiria, kitovu hele, kiunoni shanga, makalio chupi tena specil, k pad, mkononi bangli na saa kidolen pete, mguuni kikuku pete na kiatu. . . . Umenpata bro hapo cjaweka nguo hand bag hapo hamtoa out ucombe. . . . Vp hapo umekbali

Suti yangu..Hugo Boss..Euro 3000
Kiatu Not less than 500 Euros
Perfume Mexx Collection and New
Edition 007 kila moja si chini ya 200 Euros
Hujaongelea Silver niliyonayo kifuani lets say 2000 Euros..
Saa yangu Rado or Rolex Not Less than 3000.
Na hapo ukumbuke kila nilichoutajia sina kimoja,mfano suti tu
zipo karibia 25...Sasa unataka kunishawishi nini na huyo
mwanamke unayejaribu kuniambia ana gharama.Kama una watoto
wachukue watoto wako wa kike na wa kiume kisha nenda
ukawanunulie kiatu ujue uniambie ni kiatu kipi kitakuwa cha gharama kati ya yule wa kiume na wa kike.
Nimekwambia kabisa kama kunishawishi itakubidi ufanye kazi..
 
Mtakatifu yaonesha una asili ya Kigoma! Kwani watu wanaotokea Kg hua sina ubavu wa kubishana nao!
Nevertheless in accordance with your few expensis you have been provide for, am sure Bishanga has you're neighbour think so! Probably!

Mkuu mimi msukuma kaka kwetu Maswa....usiogope kubishana na mimi hapa najaribu tu kumwambia ndugu yetu kuhusu hizi gharama sio kwa kuwa wanaume wengi wamejiachia ndio ionekane kuwa hatuna gharama.....
 
Suti yangu..Hugo Boss..Euro 3000
Kiatu Not less than 500 Euros
Perfume Mexx Collection and New
Edition 007 kila moja si chini ya 200 Euros
Hujaongelea Silver niliyonayo kifuani lets say 2000 Euros..
Saa yangu Rado or Rolex Not Less than 3000.
Na hapo ukumbuke kila nilichoutajia sina kimoja,mfano suti tu
zipo karibia 25...Sasa unataka kunishawishi nini na huyo
mwanamke unayejaribu kuniambia ana gharama.Kama una watoto
wachukue watoto wako wa kike na wa kiume kisha nenda
ukawanunulie kiatu ujue uniambie ni kiatu kipi kitakuwa cha gharama kati ya yule wa kiume na wa kike.
Nimekwambia kabisa kama kunishawishi itakubidi ufanye kazi..

duh ngoja nkwambie ki2 mwanaume anaweza kuwa na gharama lakini haziwez kmfikia mwanamke, mfano mwanaume hapaki poda havai heleni, kikuku, shanga hasuku au kutengeneza nywele ha2mii pad wala chupi za kmuweka mkavu na vingn vng anatofautiana na mwanaume. . . . . Sasa unapontajia bei ya suti perfum na chen inakuwa haisaidii mana hata mwanamke anaweza kchagua vi2 vya bei mbaya zaidi ya ufkiriavyo. . . .
 
maswa sehem gani nyalikungu nn mbona mbishi sana. . . . . .

Nimekwambia tutakesha mpaka unishawishi,maana hayo yote unayoyataja sijui poda sijui kikuku sijui nini mwisho wa siku gharama zinamuendea nani kama sio mwanaume,na nimekuuliza mbona wale ambao hawana wanaume wa kuwahakikishia yote hayo,huwa hawana vurugu hizo..??Vyovyote itakavyokuwa mwanaume ana gharama na mbaya zaidi anagharimia na wengine...
 
Back
Top Bottom