duh!! Huyu mwenzenu kanenepa au kavimba uso?

If you cant control what goes in, it is more likely you cant control what comes out of your mouth and this is good example "Siwezi kujiunga na Chadema kwa sababu sijatokea mkoa wa Kilimanjaro" anawaambia nini hao wakazi wa same mashariki na magharibi,mwanga,siha na moshi vijijini yaliyoko chini ya ccm

haya ni matatizo ya kuandika post ukiwa umebanwa na haja kubwa!
 
hao akina mama hapo pembeni mbona ni kama wapo kwenye masikitiko, ni wapi hapo wakuu?
 
Mwacheni mwenzenu yuko katika harakati za kuwakebehi masikini. cha kujiuliza ni kwamba katika mazingira hayo hapo alikuwa anafanya nini kwa hao masikini anawasumbua bure bora angeenda kuonyesha mashavu na manyonyo yake kwa anaofanana nao yaani mafisadi wenzake.
 
acha kutumia makalio kufikiria wewe, unaweza jifananisha na Nape wewe?

Kwani nape kitu gani?Unadhani kujifananisha na nape ni ufahari?Ni bora ni Mtundu Kisu angalau..or better yet,nibaki nlivo kuliko kuvaa viatu vya uitikadi na uenezi wa magamba!
 
asee huyo jamaa ni kweli baiolojia yake ina uuwalakini kidogo kwa kutuna kidooogo so namshauri akatafute boxer nyingine..!
 
Back
Top Bottom