Duh!! Huyu Dokii huyu.....

huyo ni mtz mwenzetu masikini wa elimu,fikra,huruma,chakula,pesa tusimtenge tumuonee huruma najua anatafuta ccm impe ulaji wa udiwani au ubunge viti maalum si mliwaona akina vick kamata walikuwa na malengo yao si huyo tu je mlokole aliyetuaibisha sisi watz Frola Mbasha na mumewe vipi hawa jamani hamkuwaona ndugu zanguni?

Hawa ni Wajasiriamali hasa. Sijui mchungaji wao wamempa nini. Wametoka kabisa kwenye mantiki ya utumishi kupitia uimbaji.
 
Ati anam-support JK hatua kwa hatua na kila anapokwenda, kivipi? JK asije kuwa anajipindua usiku!
 
Dokii ni mlokole, na yuko kutafuta kipato toka kwenye kampeni kama wanavyolipwa wasanii wengine ambao wako kwenye kampeni
 
Back
Top Bottom