Duh, huku Zanzibar kuna kuku mitetea wengi ajabu..........!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,393
Tangu nifike huku Zanzibar jana, nimekuwa na bahati ya kukutana na mitetea wengi, natamani nijitwalie japo mtetea mmoja kwa ajili ya maandalizi ya kupikiwa futari wakati wa mwezi mtukufu............. LOL

Ngoja nile kwa macho mie maana sijui kama nitasalimike Mtambuzi mie.

Wana JF mlioko Zanzibar naomba tutafutane, mie niko Mji Mkongwe

Hii maneno asije akaiona mama Ngina na wanae King'asti na Cantalisia na wajukuu zangu TaiJike, mbalu na Asnam maana najua kitanuka...................
 
Haya kila la heri na mitetea ...lakn kumbuka muungano ndio uko icu...usije fuga mpaka akakuzoea halaf ikawa kutembeleana mpaka passport mkuu
 
mkuu uwe makini sana. Mabinti wa zenji/unguja na pemba wanawa maind sana wanaume wa bara ndio maana jamaa zao wanatuchukia kinoma. Angalia wasijekufanya kitu mbaya . Hakuna daladala la kutolokea fasta urudi dar kama ukipata matatizo.
 
Huku naibilizia lafudhi ya kipemba hivyo wanaiona mwenzao...................
 
Tangu nifike huku Zanzibar jana, nimekuwa na bahati ya kukutana na mitetea wengi, natamani nijitwalie japo mtetea mmoja kwa ajili ya maandalizi ya kupikiwa futari wakati wa mwezi mtukufu............. LOL

Ngoja nile kwa macho mie maana sijui kama nitasalimike Mtambuzi mie.

Wana JF mlioko Zanzibar naomba tutafutane, mie niko Mji Mkongwe

Hii maneno asije akaiona mama Ngina na wanae King'asti na Cantalisia na wajukuu zangu TaiJike, mbalu na Asnam maana najua kitanuka...................
Mzee mwenzangu hebu sogea hapo Mfenesini, kuna hii mitetea inatufaa wazee kama sisi

attachment.php

attachment.php
 
SUPU YA KUKU WA KIENYEJIII.....NI TAMU SANA AAAH! ...by Banza stone Mwalimu wa walimu, lol
Mitetea huwa ni mitamu kwa Thupu aisee. Ingawa kama umetamani bora ununue mmoja ujilie thupu yako kwa kujinafasi, usiibe mtetea anayefungwa na mwendhioo, utafungwaaaa
 
bombu habari ya masiku? mitetea wengine hwua hawafugiki wapo tu wanaranda randa mitaani!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom