Duh hii kali

cement

JF-Expert Member
May 5, 2012
581
218
Sema ..................................................
 

Attachments

  • uwiii.jpg
    uwiii.jpg
    35.7 KB · Views: 635
Mkuu nimecheka sana, hii ni zaidi ya kali.Jamaa angegeuzwa chakula
 
Imenikumbusha story ya party ya watu wenye vipara,getini yupo baunsa kipofu.Anawatambua waalikwa kwa kuwapapasa vichwa. Getcrashers kadhaa wakaamua kwa namna yoyote ile lazima waingie,wakawa wanashusha suruali na kumgeuzia makalio baunsa ili apapase. Baunsa akasema "haya piteni,naona sasa mnakuja wawili wawili".
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom