Duh! Hi ni noma, ushauri please!

bigcell

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
219
60
Jamani nimechanganyikiwa naombeni ushauri, hivi navyopost hii thread siko sawa na demu wangu hatuongei wiki ya pili hakuliki hakulaliki nilimfuma na jamaa sehemu isyo rasmi kuanzia hapo hakuna maelewano ndani. Sasa mbaya zaidi hivi asubuhi hii nimepokea simu toka kwa demu mmoja ambaye nilijivinjari nae last year mwezi april ka mara tatu hivi baada ya kutoka angaza kucheck ngoma, Sasa kuna wakati alinijulisha ana ujauzito mi nikadhani ananitania, leo ananiambia kajifunga baby girl, Duh! yaani ungefanikiwa kunicheck sasa hivi jinsi nilivyoloa jasho japo nipo kwenye A/C ungecheka,maana hata nikiongea nnamismis kama gari ilyokufa plug.
Demu wangu hajui chochote nna wasiwasi akijua itakuwa balaa na bado nna ` M i luv U` kinoma nifayeje Wakuu?
 
Lol! Hongera kidume kwa kupata babygal. Sasa kinachokutoa jasho ni kitu gani. Mwanaume lazima uwe stable ktk kila jambo linolokuhusu.
Kwanza huyo uliemfumania inaonekana sio mwaminifu. (akili kichwani, hapo sikushauri coz unaonekana umekufa na umeoza kwa huyo manzi, ndo maana naye anatumia hiyo weakness ku"betray").
Pili, hakikisha unatoa ushiriano wa kutosha kwa mzazi mwenzio, usije kuanza kusema, ooh mtoto sio wangu, sijui kimepanda kimeshuka. Ulivyosex nae kwani ulifikiri kule naniliu iliingia soda? Over!
 
Nenda kaungane na mzazi mwenzako, achana na huyo kicheche, wewe unajua kwa wiki mbili hizi anawasiliana na nani? Mungu keshakuonyesha njia nenda kaka, nenda!
 
Jamani nimechanganyikiwa naombeni ushauri, hivi navyopost hii thread siko sawa na demu wangu hatuongei wiki ya pili hakuliki hakulaliki nilimfuma na jamaa sehemu isyo rasmi kuanzia hapo hakuna maelewano ndani. Sasa mbaya zaidi hivi asubuhi hii nimepokea simu toka kwa demu mmoja ambaye nilijivinjari nae last year mwezi april ka mara tatu hivi baada ya kutoka angaza kucheck ngoma, Sasa kuna wakati alinijulisha ana ujauzito mi nikadhani ananitania, leo ananiambia kajifunga baby girl, Duh! yaani ungefanikiwa kunicheck sasa hivi jinsi nilivyoloa jasho japo nipo kwenye A/C ungecheka,maana hata nikiongea nnamismis kama gari ilyokufa plug.
Demu wangu hajui chochote nna wasiwasi akijua itakuwa balaa na bado nna ` M i luv U` kinoma nifayeje Wakuu?
Rahisi tu, achana na huyo aliyekucheat mchukue aliyekuzalia babygirl awe mkeo.
 
solve kwanza hilo tatizo la dem wako, mueleze kuwa umepata mtoto na dem mwingine,, akikubali kuendelea na wewe poa. akikataa, go back kwa huyo mwenye mtoto wako. that is my opinion.
 
leo mtoto....nyie mnaotelekeza watoto mnachangia idadi ya watoto wa mtaani, mnachangia watoto kutopata malezi bora au unasubiri mtoto akue afanyikiwe ndo ukajikombe kombe kwake?
 
Hongera mkuu kwani tunashea stori moja,hofu yangu ni demu wangu asijue tu.
 
Yaani wewe ushafumania halafu bado tuu wataka kun'gan'gania hapohapo,kwanini ni mke huyo useme huwezi muacha, we mlee mtoto wako achana na huyo kicheche mwisho wa siku na yeye utampa mimba uanze kukimbia kimbia matokeo yake muendelee kutujazia street children kwa mtaa.
 
acha utoto and be responsible kwa mtoto wako.na huyo mcharuko wako,achana nae asikupotezee muda.usiyavae saaaaana mapenzi,yatakuja kukuumiza.jenga mapenzi kwa mtoto wako.mpe priority mtoto wako.mtoto is for life.na hongera kwa kupata mtoto
 
Lol! Hongera kidume kwa kupata babygal. Sasa kinachokutoa jasho ni kitu gani. Mwanaume lazima uwe stable ktk kila jambo linolokuhusu.
Kwanza huyo uliemfumania inaonekana sio mwaminifu. (akili kichwani, hapo sikushauri coz unaonekana umekufa na umeoza kwa huyo manzi, ndo maana naye anatumia hiyo weakness ku"betray").
Pili, hakikisha unatoa ushiriano wa kutosha kwa mzazi mwenzio, usije kuanza kusema, ooh mtoto sio wangu, sijui kimepanda kimeshuka. Ulivyosex nae kwani ulifikiri kule naniliu iliingia soda? Over!

Ha!ha!ha!ha!ha! Dah! Mkuu umeniacha hoi kweli hapo kwenye soda2! Jf ni zaidi ya darasa kiukweli!
 
Jamani nimechanganyikiwa naombeni ushauri, hivi navyopost hii thread siko sawa na demu wangu hatuongei wiki ya pili hakuliki hakulaliki nilimfuma na jamaa sehemu isyo rasmi kuanzia hapo hakuna maelewano ndani. Sasa mbaya zaidi hivi asubuhi hii nimepokea simu toka kwa demu mmoja ambaye nilijivinjari nae last year mwezi april ka mara tatu hivi baada ya kutoka angaza kucheck ngoma, Sasa kuna wakati alinijulisha ana ujauzito mi nikadhani ananitania, leo ananiambia kajifunga baby girl, Duh! yaani ungefanikiwa kunicheck sasa hivi jinsi nilivyoloa jasho japo nipo kwenye A/C ungecheka,maana hata nikiongea nnamismis kama gari ilyokufa plug.
Demu wangu hajui chochote nna wasiwasi akijua itakuwa balaa na bado nna ` M i luv U` kinoma nifayeje Wakuu?

Unganisha threads mbili hizo iwe moja na msameheane yaishe. Then kuanzia hapo endeleeni na maisha ya kukubali kutoaminiana!
 
Back
Top Bottom