Duh CUF ni Noma...hivi CCM na CDM mnaweza hii

sijuikitu

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
286
12
CUF chama kinachounda Serikali ni wao, na chama kinachounda upinzani ni wao pia.

Kuna chama kingine chochote duniani ambacho kipo kotekote, serikalini na upinzani?

kweli hii nchi ni FUMBO......DOWANS ni FUMBO, UCHAGUZI 2010 ni FUMBO, Muungano ni FUMBO.....hata mgao wa umeme unaonendelea sasa ni FUMBO pia.
 
Ni kama vile mtu mwenye jinsia mbili kisha ukamfunga jela sijui utamuweka cello ipo wa kike ya kiume? Haya itabidi tumuite dpctor kuprove ni jinsia ipi inafanya kazi kisha ndiyo umweke huko! Sasa sijui CUF ni wapinzani zaidi au watawala zaidi?
 
Ktk uislam mwanamme ameruhusiwa kuowa wake hadi 4. Naona cuf imekua dume la mbegu imeoa ccm na sasa imeshapeleka posa kwa chadema inasubiri ruhusa tu wachukue mke wao. Hongera cuf.
 
Unatutania mkuu haya ngoja matusi ya watani wako mie simo...........................
 
Ninaheshimu sana dhamira ya CDM kutaka kufanya kazi peke yao, kila mmoja anakuwa na malengo yake na sitaki niamini kama maleongo yalikuwa ni kupata pesa za kuongoza hizo kamati peke yao. Sidhani hata hivyo leo CDM wakiamua basi tena maana walishasema hawataki kuwashirikisha CUF na vyama vingine mie sitashangaa na nitaona uamuzi wao wa kujiweka pepembeni umejengwa na dhamira yao ya tangu awali na huu utakuwa ujasiri wa hali ya juu. Nina amini kabisa kwa wabunge zaidi ya 70 CDM itaweza kutoa changamoto nyingi ndani ya bunge. Swali ni je CDM itakubali ndoa ya lazima bila kupenda kufanya kazi na vyama vingine vya upinzani pamoja na CUF na kusahau dhamira waliokuwa nayo mwanzo? Ikiwa watashirikiana tutajifunza nini katika hili? Maana wenzao CUF juu ya kuwa wamelainika hivi karibuni tulishuhudia hata kususia vikao vya bunge! Tusubiri tuone chama kitaamua nini................................
 
CUF chama kinachounda Serikali ni wao, na chama kinachounda upinzani ni wao pia.

Kuna chama kingine chochote duniani ambacho kipo kotekote, serikalini na upinzani?

kweli hii nchi ni FUMBO......DOWANS ni FUMBO, UCHAGUZI 2010 ni FUMBO, Muungano ni FUMBO.....hata mgao wa umeme unaonendelea sasa ni FUMBO pia.
Kumcha MUNGU ni chanzo cha maarifa, tukiyakana maovu yetu na kumtumikia BWANA yeye atafumbua macho na kutupa majibu ya MAFUMBO
 
Sio kwamba ni noma ni kwamba ni malaya wanaotapatapa na kutumiwa vibaya na CCM. Tuone kama umalaya wao utadumu muda gani.

Ktk uislam mwanamme ameruhusiwa kuowa wake hadi 4. Naona cuf imekua dume la mbegu imeoa ccm na sasa imeshapeleka posa kwa chadema inasubiri ruhusa tu wachukue mke wao. Hongera cuf.

Mwanamke wa pili Chadema amekuwa mkali ugomvi mwingi..tumeita wazee wa baraza akiwemo mke wa kwanza ..nafikiri atakubali posa pia..

Ikibidi kwa shinikizo kutoka za pesa nasikia anapenda pesa sana..siyo rahisi atoke tukiweka rupia
 
sasa yametokea tufanyeje waungwana, mke kaolewa na wanaume wawili leo.

Sivyo.

Dume CUF amepeleka posa kwa wake wawili CCM na CDM

CCM wamekubali, CDM wamekataa ukewenza

Nafikiri imani yao inawasumbua, wazee wanajitahidi kulazimisha mwanamke wa pili cdm ameanza kutoka nje kwa hasira hataki maelewano

Tusubiri mke wa pili atapatikana?
 
Ktk uislam mwanamme ameruhusiwa kuowa wake hadi 4. Naona cuf imekua dume la mbegu imeoa ccm na sasa imeshapeleka posa kwa chadema inasubiri ruhusa tu wachukue mke wao. Hongera cuf.
Usituletee udini hapa. Unataka kutueleza kuwa CUF wana-practice uislamu? Najua huwezi ku-practice imani ya dini usiyoitumikia; hivyo unataka kuhalaisha kuwa CUF ni ya waislamu tu?
Ebu tueleze mkristo aliye kwenye CUF atachuliaje mfano wako - maana yeye haamini katika wake wanne!!
 
Wanaume wote wanakuwa na wake zaidi ya moja..

Hiyo ni natural, na anayepelka posa ni MUME

Kwa logic ya kuoa muoaji ni CUF anatka kuoa wake wawili kwa wakati moja

Chadema (binti mdogo) anakataa ukewenza lakini wazee wa baraza wamemlazimisha

Tusubiri itakuwaje? atasusa au ataishi hivyo hivyo kwenye ndoa
 
wale ni malaya, na ninna kubaliana na wewe kuwa tz kila kitu ni fumbo
CUF chama kinachounda Serikali ni wao, na chama kinachounda upinzani ni wao pia.

Kuna chama kingine chochote duniani ambacho kipo kotekote, serikalini na upinzani?

kweli hii nchi ni FUMBO......DOWANS ni FUMBO, UCHAGUZI 2010 ni FUMBO, Muungano ni FUMBO.....hata mgao wa umeme unaonendelea sasa ni FUMBO pia.
 
we TROPICAL acha ushamba wako, ni nani aliyekudnaganya kuwa wanamme wote wanakuwa na wake zaidi ya mmoja? ongelea kwa nafsi yako mwenyewe binafisi:clap2:
Wanaume wote wanakuwa na wake zaidi ya moja..

Hiyo ni natural, na anayepelka posa ni MUME

Kwa logic ya kuoa muoaji ni CUF anatka kuoa wake wawili kwa wakati moja

Chadema (binti mdogo) anakataa ukewenza lakini wazee wa baraza wamemlazimisha

Tusubiri itakuwaje? atasusa au ataishi hivyo hivyo kwenye ndoa
 
CRAPS hivi wewe huwa huchoki kutema pumba na upupu?:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
Mwanamke wa pili Chadema amekuwa mkali ugomvi mwingi..tumeita wazee wa baraza akiwemo mke wa kwanza ..nafikiri atakubali posa pia..

Ikibidi kwa shinikizo kutoka za pesa nasikia anapenda pesa sana..siyo rahisi atoke tukiweka rupia
 
Tatizo ni kuwa nje ya bunge vyama vya upinzani haviruhusiwi kuungana, lakini lilipokuja swala la kamati nyeti bungeni wameona wawalazimshe CDM ndoa ya mkeka, je hii ni haki?
Ninaheshimu sana dhamira ya CDM kutaka kufanya kazi peke yao, kila mmoja anakuwa na malengo yake na sitaki niamini kama maleongo yalikuwa ni kupata pesa za kuongoza hizo kamati peke yao. Sidhani hata hivyo leo CDM wakiamua basi tena maana walishasema hawataki kuwashirikisha CUF na vyama vingine mie sitashangaa na nitaona uamuzi wao wa kujiweka pepembeni umejengwa na dhamira yao ya tangu awali na huu utakuwa ujasiri wa hali ya juu. Nina amini kabisa kwa wabunge zaidi ya 70 CDM itaweza kutoa changamoto nyingi ndani ya bunge. Swali ni je CDM itakubali ndoa ya lazima bila kupenda kufanya kazi na vyama vingine vya upinzani pamoja na CUF na kusahau dhamira waliokuwa nayo mwanzo? Ikiwa watashirikiana tutajifunza nini katika hili? Maana wenzao CUF juu ya kuwa wamelainika hivi karibuni tulishuhudia hata kususia vikao vya bunge! Tusubiri tuone chama kitaamua nini................................
 
Hahaha unajua mtoto wa kike lazima ukimtongoza kwanza anakataa kataa hivi na hata matusi anaweza kukutukana lkn ukimlainisha anakubali. Na kila akiwa mkali zaidi mwanzo basi huyo ndie rahisi zaidi kumpata. Na hawa chadema wameshaingia ktk 18 za cuf lazima watapachikwa ki mimba tu. Hahahaha
 
Back
Top Bottom