Duh, cacico nimeamini kweli wewe ni mkare....!

Wamejichimbia......habari ya wewe?
Thanks O My Lord my dear and darling wifey is OK.

Kuna mtu anakusumbua?
332-7221-a-capt.c28b3a25d60c4c4ca31f8ac862b1743f.JPG
 
Last edited by a moderator:
Mlikuwa hamjambo? Yummy alinufungia kwake na nguo zangu akazifua bila ridhaa yangu nilikuwa nasubiri zikauke! cacico hali yako bibi yangu? Babu Asprin usione kimya hayo ndiyo yaliyonikuta mjukuu wako!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom