Dudu Baya na Jukwaa..

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,420
2,271
dudubaya.jpg
 
Yap walisafiri nao... Aidha Dudu Baya muziki wake uliongozwa na kijana huyu..
Mika%20Mwamba.JPG
Mika Mwamba
 
HUYU ni mzalishaji mzuri sana wa muziki wa kizazi kipya!D-KNOB anamuheshimu mika kama nini sijui!alimtoa dogo
 
Daa jamaa naona yuko na mambo latest.

Numark wametoa system yao kama ya SERATO na nilikuwa sijaona kwenye picha mtu yeyote akitumia hadi huyu jamaa. Wanadai ni poa sana na DJs wanatumia computer Mac na hicho kimashine kidogo mchezo umekwisha.

By the way, DUDUBAYA anaonekana kweli mwimbaji wa mziki wa KUFOKAFOKA maana anaonekana kama anawafokea akina dada ingawa akina dada wanaonekana kutokujali na sanasana wanafurahia. Inanikumusha wimbo wa "Danger, danger get on the floor / The nigga right here sing it / Been so long since he's been on / So please show me ".
 
Mika hawezi sahaulika na baby bianton(Dully)na wengine wengi,alikuwa kikwazo sana kwa majani enzi zile!!
 
Yap dudu baya deserves what he has,sababu anajituma na anaipenda sana hiyo kazi yake,one love to DUDU!!
 
Daa jamaa naona yuko na mambo latest.

Numark wametoa system yao kama ya SERATO na nilikuwa sijaona kwenye picha mtu yeyote akitumia hadi huyu jamaa. Wanadai ni poa sana na DJs wanatumia computer Mac na hicho kimashine kidogo mchezo umekwisha.

By the way, DUDUBAYA anaonekana kweli mwimbaji wa mziki wa KUFOKAFOKA maana anaonekana kama anawafokea akina dada ingawa akina dada wanaonekana kutokujali na sanasana wanafurahia. Inanikumusha wimbo wa "Danger, danger get on the floor / The nigga right here sing it / Been so long since he's been on / So please show me ".
Mkuu Sikonge ukiangalia hiyo mashine anayotumia Mika ni kama hii au ni tofauti?
[ame="http://www.amazon.com/Numark-FUSION111/dp/B000FVY0LY"]Numark FUSION111[/ame]​
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom