Duchaa duchaa duduchaa duchaa hellow hellow jf..wots up meen?hodii yooo..yoo yo yo

Oct 21, 2011
20
4
nmetoka kupma cna MALARIA wala co SUGU...
Me n kama tgo nawaambia,sote n ndugu..
Km nmeku-bore niambie wala ucwe BUBU.
Nna nymbo 25 ndo napendwa na wakna mwita..
Ofcoz am THE BOSS mpaka nmeptlza...
Pia nina fox km faiza..
Nite hata zegenyo ila co husninyo..
Nawapga NGUMIJIWE wamaosign MIKATABAFEKI..
Km uknpenda ntakupenda ksha ntakulambsha KIPIPI cha kjt..
Tulza kpago bwana mdogo utaumia..
Me ndo katbu mwenez wa hz lines km bwana Nnauye junior..
Najua mnpokea jf naomba kuingia
 
karibu ukaribie,upewe kiti ukalie,na kitako utulie,mbona shangwe umeshinda DOWANS?Ila jihadhari ucku mbu mchana Nzi. Na log off
 
Kwahiyo speed yako inatutisha.
Karibu ila zingatia uandishi sahihi, pia zingatia vigezo na masharti ili udumu zaid. Unakaribishwa ndg.
 
wewe ingia kwani hapa ni free yaani hakuna kulipia,
Si unajua chakufanya?Ukiwa na mawazo unatawanya,kama ya ukweli hongera utapata.
Ila kama ya kijinga ndio utajua nini maana ya Tabata.
Jiachie bab!!
 
Pia ukumbuke hapa si Facebook ambako mtu hata kiwa chooni anajitangaza,
wala badoo ambako "magot" imehamia mtandaoni.
Hapa bana tunahitaji point tu!!!
.
Mmm!!
Halafu isije ikawa tunamkaribisha mwenyeji,
Mbona yoo yoo zimekua nyingi?
Sio yo yo kweli wewe!!!!???
 
nmetoka kupma cna MALARIA wala co SUGU...
Me n kama tgo nawaambia,sote n ndugu..
Km nmeku-bore niambie wala ucwe BUBU.
Nna nymbo 25 ndo napendwa na wakna mwita..
Ofcoz am THE BOSS mpaka nmeptlza...
Pia nina fox km faiza..
Nite hata zegenyo ila co husninyo..
Nawapga NGUMIJIWE wamaosign MIKATABAFEKI..
Km uknpenda ntakupenda ksha ntakulambsha KIPIPI cha kjt..
Tulza kpago bwana mdogo utaumia..
Me ndo katbu mwenez wa hz lines km bwana Nnauye junior..
Najua mnpokea jf naomba kuingia
Kazi ipo.
 
Hahaha haya karibu naona mikogo mingi taratibu usije ukanitoa meno yangu mna unayumba na mistari kama mnazi mbovu....
 
hapo tu upepo hakuna,
je wakati wa upepo ule wa disemba itakuwaje
si ndo utazichojoa zote hapa hapa jf.

karibu lakini.
 
Back
Top Bottom