Dubai. The Down Town (pdf)

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
.....Angalia kazi za Milkono ya Mwanadamu ktk Ujenzi.
DUBAI
 

Attachments

  • Future Dubai.pdf
    1.7 MB · Views: 388
Hata mbuyu ulianza kama mchicha tujipe moyo!!

Only people with vision and determinationa can do these. Viongozi wetu wamekata tamaa wameamua kuchukua vyetu mapema! Bongo zao zimefika mwisho wa kufikiri bora tuwatoe madarakani tuanze upya!
 
Nina safari ya kwenda Dubai kesho alfajiri kutoka Muscat kwa gari. Nitaanza safari saa 10 alfajiri na safari itachukua masaa 5 mpaka 6. Sababu kuu ya kuondoka alfajiri ni kukwepa joto kali katika kipindi hiki cha mwaka. Joto ambalo linafikia 47 to 50 deg. Centigrade. Tunashukuru viyoyozi vinatusaidia. Nitakuwa huko kwa muda wa siku 3 pamoja na family, na tume plan kutembelea Khalifa Tower (World Tallest Tower), Emirates Mall, Dubai mall and Deira market.
 
Hawa watu wanaendelea sababu hawana choyo au chuki. Pamoja na kua na utajiri wao bado wanakaribisha wawekezji kutoka pande zote duniani kuja nchini kwao na kufungua miradi na hapo wote wanafaidika.
 
Hawa watu wanaendelea sababu hawana choyo au chuki. Pamoja na kua na utajiri wao bado wanakaribisha wawekezji kutoka pande zote duniani kuja nchini kwao na kufungua miradi na hapo wote wanafaidika.
Mwarabu hana chuki? Hivi upo dunia gani weye
 
acha ubaguzi kwa kirangi na kabila! Kila kabila au rangi kuna wabaya na wazuri.mimi nime hakikisha hiI.siku moja nilikuwa na Mchukia muhindi.lakn jamaa alinisaidia katika shida yangu kuliko ata ndugu zangu.
 
"In the next 5 years of my administration, Kigoma will be built and transformed to become the Dubai of Africa"-Jakaya Kikwete
Nasubiri.......
 
ndiyo dunia but only voiceof one day all dissappear
Allah karim
cONQUEST-DONT GAIN YOUR WORLD AND LOSE YOUR SOUL
 
safari ya Muscat to Dubai ni masaa 4 kwa mwendo wa 120km per hour na sio masaa 6. ila kama una residence visa upange q pale border ucheleweshwe.
 
Good will and strong determination with commitment ndo msingi wa yote hayo. Matumizi mazuri ya raslimali pia ni msingi wa mafanikio yao.
 
Nilikuwa Dubai 2005 lakini maendeleo waliyonayo kwa kasi yetu itatuchukua miaka 150 kuwafikiwa. Huu ndi ukweli ambao haupingiki!
 
Back
Top Bottom