Dua zenu tafadhalini

Dah! Kila la kheri 2nakasubiri ka beby hako kaje kusikia duniani kuna watu wanaitwa kikwete,slaa,mbowe,zitto na wa2 wabishi kama rejao na maralia sugu!
 
"Stahili salama".
Mungu akujalie safari njema, utotoe salama usalimini na urejee salama.
Wajomba tupo tutasaidiana ulezi.
 
Kila la kheri Flora,MUNGU akupe nguvu na uwezo wakujifungua salama,mtoto na ww muwe na Afya njema,2po pamoja katk sala Dia.
 
Inshallah ufike salama, mambo yatakua poa.
Mi nakuombea ipate baby girl, umwite Grace
 
flora ,
kwa hili la mtoto yupi moreprofitable tumekunyamazia si kama tumekosa majibu,
laa !
Ni kutokana na hali yako kwa sasa.
Kajifungue kwanza , then hilo liandalie uzi wake mbona majibu lukuki ? Ukitaka ya yaje kwa chururu utayapata , ukitaka kwa ndondondo yatakudondokea .

hahahaha msinitoboe macho basi!jamanii lol
 
mimi ndo dokta mkuu ktk kitengo cha kutotolesha hapa kilimanjaro hospitalin so see yu later
 
Back
Top Bottom