DU

kibakiking

Senior Member
Jan 6, 2011
101
8
thanks kwa wana igunga kura zenu si bure na ikumbukwe kuwa katika uchaguzi mkuu uliopita hatukusimamisha mgombea so kwa wale walio dai walikuwa na mtaji wa kura za kuanzia imeonekana walivyo umbuka ila kwa yote tutakuwa bega kwa bega katika yote.
thanks for all support our political part mean CDMA
 
Ama kweli CDM wametiwa adabu. Kulia lia huku si bure, ni kichapo ambacho watakiota kila siku.
 
ni ushindi mkubwa huo kwa CHADEMA kwani ccm wamenunua kwa kura 1 tsh 137,000=
hii ni dalili nzuri kwa CHADEMA 2015

hawataweza kununa kura za Tanzania nzima

CHADEMA juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana.
 
Back
Top Bottom