Du toto noma

chafu

Member
Jul 13, 2012
17
1
sikia hili toto! mama hivi unajua housegeli ni malaika AMA: kwanini unasema hivyo TOTO:basi jana nìmemuona akiwa uchi anaongea na yesu anasema ooh yesu wangu ooh yesu wangu yaani kama si baba kumshikilia kwa nyuma nayeye akiwa uchi sasa hivi yupo mbinguni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom