Du! Kazi kweli kweli

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
Kwa mwendo huu, ni kweli WALI WA KUSHIBA UNAONEKANA KWENYE SAHANI..
 

Attachments

  • Ph.jpg
    Ph.jpg
    12.1 KB · Views: 92
  • Photo0203.jpg
    Photo0203.jpg
    17.2 KB · Views: 104
  • Photo0206.jpg
    Photo0206.jpg
    20.9 KB · Views: 109
Ama kweli, dalili ya mvua ni mawingu..lakini hii ni rasharasha!
 
Wakuu jana nilikuwa Tengeru mnadani, jioni CDM kilifanya mkutano wa kampeni pale mgombea hakuwepo waliokuwepo ni Waitara, msigwa, Kiwelu. Sikuelewa umati unawezaje kujaa namna hiyo mahali ambapo mgombea hayupo. Habari zilizopatikana zinasema wabunge wa CDM wanaofanya kampeni bila mgombea wako makundi matatu. Hongereni Peoples power.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom