Du hivi JK anasinzia kweli!

Tidito L

Member
Jan 23, 2011
97
16
Nimekaa nimewaza huyu rais wetu kweli anapata usingizi kweli? Maana kila kukicha matatizo hii nchi yanazidi kuongezeka.
Na kanuni yake aongei chochote kwanza anasubilia muongee alafu anakuja kuwapa mabango kuwa hoo, "akutukanae akuchagulii tusi"
sasa si bora ang'oke kama anaona anashindwa kazi.
Mambo gani haya bana.?
 
Home
bread_sep.png
Op/Ed
bread_end.png



Kesho kutwa utamsikia kaamrisha jeshi kumata JF!!!!! Maandamo kwa haraka kutete wafiwa na wato yatima kwa uzembe huu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom