Babu Ubwete
Senior Member
- Jan 26, 2008
- 169
- 29
Naomba Kusaidiwa hawa watu ukatwaji kodi wao uko vipi na ukokotoaji wa kodi ukoje kwani ni moja ya kampuni za mkaburu zinazoingiza pesa nyingi sana kutoka Tanzania. Ukienda kulipia ankara yako unapatiwa risiti haina VAT wala TIN number hii kisheria inasimamaje maana nilidhani ni lazima kwa sasa bongo kila unapolipa fedha lazima upewe risiti yenye kuonyesha VAT na TIN number. Kuna Kijana mmoja Mtemi Shambwe aliwahi kuhusishwa na wizi wa milioni kadhaa pale DSTV na somebody Gumbo miaka ya 2002 . Hivi nivyanzo vya kodi vinavyoachwa .