DSTV vs Zuku

najua zuku wapo ses5 nyuzi 5 na dstv wapo eutelsat 36.sasa anaposema kuwa wapo uelekeo mmoja na dstv sipati picha
 
zuku bei zao zinabadilika sana nadhani hata dstv. sasa hakuna king'amuzi chenye channel za bure.zuku kwa mwezi malipo yananzia elfu 21.

serikali ni kama ina walalia wananchi.
 
Wanamapungufu mengi sana. Customercare yao. Bora ya airtel mara mia.

Nilikutana nao nane nane wakasema wanakuja kufanya mabadiliko kwenye vifurushi vyao.
Currently wana 3 vifurushi and they will sonn from September merge the 3 into 2 packs and maintain the lowest rate possible.
So kutakuwa cha elfu 22 na elfu 35 kama sikosei.
Am waiting.....
I have been using them and so far naona poa.
 
Back
Top Bottom