DSTV na DRIFTA.....

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,884
Wataalamu wa Tech hebu niambieni
mtu akiwa na Decoder ya DSTV south africa au kenya kwa mfano
akailipia mwaka mzima
akaamua kuja nayo tz...
inakuwaje?
lazima aripoti dstv TZ?

lazima alipe upya?

halafu kuna huduma ya DRIFTA nayo mtu akilipia Kenya mfano
lazima akija TZ aanze upya?
 
dstv is one ,one will always be the same and will never change into two

kaka lazma ujue huduma za dstv kenya na south zPo tofaut na ni advanced kuliko zetu hapa. Na kwa gharama 2metofautiana
 
Wataalamu wa Tech hebu niambieni
mtu akiwa na Decoder ya DSTV south africa au kenya kwa mfano
akailipia mwaka mzima
akaamua kuja nayo tz...
inakuwaje?
lazima aripoti dstv TZ?

lazima alipe upya?

halafu kuna huduma ya DRIFTA nayo mtu akilipia Kenya mfano
lazima akija TZ aanze upya?

dekoda ya sa inafanya kazi hapa kwa wizi . Ili ifanye kazi inatakiwa utumie dish ya ft 8 na malipo ulipie hukohuko sa. Kwa hiyo ya kenya inatumika bila shida
 
Back
Top Bottom