Dstv mobile

Mbava

Member
May 18, 2011
30
1
Nawasalimu wana jf? Mimi bwana nimeanza kutumia hii huduma ya dstv mobile ya vodacom, na huduma hii walivyotangulia kutangaza, walisema huduma hii ni bure, lakini cha ajabu ninapotazama channel zile walizoanisha, nikiangalia salio nakuta imefyekwa' duu! Nilipojaribu kuwapia nakuwaleza tatizo, kila mhudumu ananipa majibu yake. Mwengine ananiambia huduma hii ni bure, mwingine ananiambia inatozwa kiasi kidogo cha fedha. Sasa naomba msaada kwa anayetumia huduma hii bure, nami nijue, akhasanten
 
hii huduma inapatikanaje mkuu? wanaInstal program ya kuiwezesha simu kuStream DSTV channels au inakuaje??mimi natumia Iphone je ntapata?
 
Huduma inatakiwa iwe bure, haulipi kwa mwezi na data haitakiwa iende, ndo wanavyoitangaza.
Kwa kifupi Voda ni wezi, wanatangaza kuwa ni bure lakini inakula salio kama kawa.
 
kwa mujibu wa mtandao wa voda wamesema bure hata data, lakini naona hela inakatwa kama kawaida!. mitandao hii matangazo mengi ni ya kisanii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom