Dstv bila malipo

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Wana JF mambo vip? Hivi karibuni nilikuwa napata channel hizi bila kulipia MNET,CSN,etv,etv africa,MNET ACTION VUZU MNET STAR BLITZ MZANZI na KOWEE Zote za sauz kwa kutumia risiva ya HD ila tatizo zinakatakata sana tatizo ni nini? Nisaidieni
 
Tatizo ni wewe mwenyewe mwizi na mpenda vya bure!!
 
Kweli bongo si mchezo yaani mwizi anaona ana haki kabisa na vitu anavyoiba ha ha haaaa!!!
 
nyie acheni ushamba sio kwamba naiba hizo channel ziko free kupitia mfumo wa HD hata wewe ukiwa na risiva kama WIZTEC MPEG4 HD unazipata na si kwamba zimekatika hewani zipo ila zinascrach swala tuulizane kwa nini zina kwamakwama
 
Aina ya ungo unaotumia ni mdogo kama unatumia ule wa futi 6 basi utafute wa futi nane. au location uliopo inaweza ikawa kikwazo.
 
Wana JF mambo vip? Hivi karibuni nilikuwa napata channel hizi bila kulipia MNET,CSN,etv,etv africa,MNET ACTION VUZU MNET STAR BLITZ MZANZI na KOWEE Zote za sauz kwa kutumia risiva ya HD ila tatizo zinakatakata sana tatizo ni nini? Nisaidieni
Vipi bado unaziangalia? mimi zilishapoteya kwailotatizo nikupandisha sigino ilakwasasa mpg4 HD zinagoma
 
tatizo ni kuwa ukisema HD maanake ya high definition which means signal per second au tuseme bit/second inahitajika iwe kubwa tena sana kupita kiasi. ni tofauti sana na channel za kawaida. kusolve ni kutumia dishi kubwa zaidi na liwe CORRECTLY inclined to a specific angle. angalia upepo ukichezesha dishi kidogo tu basi zimetoweka. kuna kipindi mie nilikuwa natumia dishi la futi 12 basi ilikuwa powa sana. ila kwa sasa nimehama hometownl kwangu. sijui inaendeleaje.
ila kama kukata maana yake bit per second ni ndogo.
solutions:
1) ongeza ukubwa wa dishi
2) tumia lnb yenye gain kubwa zaidi au noise figure ndogo, hapa kwa mara ya mwisho ninashauri lnb ya eurovision ya original sio feki yake na alama yake kubwa ina sticka ya kungarangara kama alama ya pesa vile (authentic sticker) kwani ina nguvu na inatumia IC nne. mbili za horizontal na mbili kwa ajili ya channel za vertical. bei yake ilikuwa 25000 wakati lnb za kawaida ni 15000 kwa mwaka jana niliponunua mie.
3) fanya kutafuta upya mwelekeo wa dishi huenda upepo and/or other factors zimelisogeza kidogo nayo ni kuweka sawa vitu vitatu. juu na chini (altitude) kushoto-kulia (azimuth) na focus.(masafa ya LNB kutoka katikati ya dishi pamoja na kuizungusha lnb yenyewe kushoto na kulia) yote haya yanachangia kuongeza signal. huku unarekebisha huku unasome ukubwa wa signal unaoupata.
 
Tatizo ni wewe mwenyewe mwizi na mpenda vya bure!!

jiangalie mkuu. halafu uwe na uhakika na unachokinena. hizi channel zipo free wala hazijazibwa unamshushia heshima mwenzio, unamnadi ni mwizi, kumbe weye ndio huelewi.....
 
Kwa sasa zimefungwa zipo mbili tu ndo ziko hewani MINDSETH na HEALTH kama unazitafuta sasa hivi ziko deg 66E
 
Kweli bongo si mchezo yaani mwizi anaona ana haki kabisa na vitu anavyoiba ha ha haaaa!!!
huelewi lolote waachie wenye fani usipende kukulupuka utajishushia hadhi unaonekana nijinsi gani nimbumbu wa hii fani nenda jukwa la siasa na udaku
 
Naomba ututajie frequency, s/rate, setelite name na angle za muelekeo wa Dish ili na sisi tufaidike kaka.
 
Naomba ututajie frequency, s/rate, setelite name na angle za muelekeo wa Dish ili na sisi tufaidike kaka.
Intelsat 906 at 64.2e(3644H8545)-ITV,EA tv5,Capital-(3654H3632)-mozambique,TIM,TPI(3721H4882)-UBC tv(3884v3271)-Star tv(3893v4440)-TBC tv(3900v3800)-Agape tv(3966H2844)-Channel ten(4039v2034)-TBN namibia(4044v2848)-One africa tvSystem enryption DVB-S BISS.Key (01 01 01 03 01 01 AA AC)kama unatumiya STRONG bonyeza 8280 ingiza hizo namba na uzihifazi(4136v6050)- MTN kwenye mpeg4
 
Tatizo ni wewe mwenyewe mwizi na mpenda vya bure!!
Unajua ni kosa la jinai kumwita mtu mwizi pasipo ushahidi wowote,naona umeimgia jukwaa lisilokuhusu,hivi kwa maisha ya sasa wewe unaweza ukalipa sh laki moja kwa ajli tu ya kuangalia mipira ya uk kwa mwezi ww? Nimeishi baadhi ya nchi za Ulaya nimeshuhudia jinsi raia wa hizo nchi wakiwa bize katika kuchakachua vitu vingi kama vile internet pamoja na hizi channel za kulipia na serikali pamoja na hayo makampuni inajua kabisa kama inaibiwa lakini itafanyeje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom