DSM; Viijana 230 kuhamia CDM kesho

Kimoyomoyo nafurahia hiki kigugumizi cha wabunge wa CCM na serikali yake maana inaleta msukumo mpya!
Sijui watapita mitaa gani hawa wabunge wa CCM?
 
kisiasa kujuuzuru kwa Mawaziri waliobainishwa kulikuwa na tija ccm ila hivi walivyofanya wanaifanya vyama vya upinzani kujijenga na ccm kuzidi kupolomoka
Watanzania kwa ujumla na hasa vijana walifuatilia hili bunge kwa makini sana, walitarajia makubwa hasa ukichukulia kuwa taarifa kuu iliandaliwa na mkaguzi na mdhibiti mkuu wa serikali, Wabunge wote bila kujali itikadi walichangia kwa uwazi na hisia kali, lakini ilipofika kwenye kuchukua hatua watawala walijificha. Sasa je Nape ataweza kusimama mbele ya vijana aweleze kuwa chama tawala ni kizuri kina ilani nzuri inayomjali kila mtazania na hao vijana watulie tu wamsikilize bila kumzomea na hata kumtupia mayai viza? nina wasiwasi.
 
Ccm get prepared for political tsunami.
Nimegundua kuna njama za makusudi za kuua chama cha mapinduzi zikiongozwa na Kikwete mwenyewe. Haiwezekani katika hali ambayo kila mwananchi anasubiria maamuzi magumu yeye anafanya maamuzi dhaifu. Sawa serikali ni LEGELEGE lakini sio kwa kiwango hiki cha sasa. Inatishia usalama wa taifa kabisa, what if tukifuata ushauri wa Wenje kuwa tukimuona Ngeleja tuite MWIZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
nimekuelewa;
 
Naona 2015 ni mbali sana natamani jk siku anasafiri ndege ianguke ili tukafanye uchaguzi very soon
 
"Huu ni upepo wa kisiasa na utapita tu"by JK 2012,,,
"Huu upepo hautapita hivihivi,ni lazima uondoke na hata bati(waziri) lazima litan'goka tu"by Sugu speech ya leo
Tafakari kauli hizi mbili,
 
Hiyo kazi tuliyobaki nayo kama vijana wapenda mabadiliko. Nadhani Magamba mpaka wakumbane na upepo mkali wa M4C ndo watatia akili.
Makamanda mlioko ground hakikisha ni full kusafisha mpaka magamba watakaposalimu amri. Viva viva CDM.
 
Colabo ya lema na Dr.slaa ni kama Messi na xavi what a Chemical Combination!
 
Wana JF nimekutana na kiongozi wa CCM (Mkuu wa wilaya Kigoma mjini) anasema chama chao hakina wasiwasi kabisa na hili wimbi la kukimbiwa na watu. Anasema kwamba CCM ni kama daladala, inashusha abiria wawili wanapanda abiria kumi. Kuna ukweli katika kauli hii?
 
Ni bora kuishi kwa matumaini hata ktk jambo ambalo unaliona ni gumu kwako.
mwache awe na matumaini hayo; na maneno hayo anayaongea mbele yako lakini nafsi (Moyo) yake inajua kila kitu
 
Back
Top Bottom