Dry lips

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Habari zenu wakubwa,

Jamani mimi mwenzenu katika hizi siku kama 3 hivi nimepata tatizo la ukavu kwenye lips na sometimes nahisi kuna burning feeling.

Naomba nisaidieni inasababishwa na nini najaribu kunywa maji lakini wapi.

Please assist
 
Labda umepata infection au allergy reaction.
Fikiria vitu/kitu kipya ambacho umekula, jipaka mdomoni lately. . .
 
Yaani wewe ni siku tatu 2 mimi ni miaka na miaka haisikii mafuta wala anykind of lip balm sa hv napaka vitamin e ndio angalao au kama una siagi ila vitamin e kumeza au kupaka is best,
 
Taitizo hata mkipewa ushauri hamfatilii. Andika no yako ya simu uelekezwe. Ukikaa imya shauri lako
 
Unique, tuambie basi ni nini naona unalaumu kwanza badala ya kutoa msaada
 
Back
Top Bottom