drug kingpin busted

gugu

Member
Nov 14, 2008
69
12
Jamani nani analist ya wa bongo na huyo mkenya waliokamatwa na mkenya mwanamke hatari ambaye yuko kwenye list ya Obama
 
Hakuna Mmbongo kwenye hiyo list ya Obama, Wakenya wawili, wamexico, colombia, na afghanistan. Source- Daily Nation la Jana June 3,2011
 
Kuna mtu mwenye picha ya huyo MAMA LELA wa kenya; mwenzie John Mwau mbunge wa Kilome picha yake imetolewa. Inasemekana huyu mama ana maskani pia Dar kule Mbezi beach na hivi sasa amekamatwa akiwa na kilo tano za cocaine!
 
Haopa anaitwa mwanaidi ana washikaji zake wa bonhgo Almasi Saidi na Asha
 
Back
Top Bottom