Droo za Zain, Mmm...h?

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Hawa Zain wanachezesha droo ya "Ongea uzawadiwe" lakini hizo namba wanazopiga hazionekani kwenye screen! Sasa tutajuaje kama hawapigii mtu wanayemfahamu? Sio wizi mtupu?
 
Halafu aibu tupu leo.mshindi waliempigia
akasema ngoja nipande juu kidogo mawasiliano sio mazuri..

Yaani....what a publicity.......
 
thats true i think gaming board wanaitaji kupitia swala hili hasa wakati tunapoelekea kupata vogue. inabidi namba ionekane
 
Back
Top Bottom