drogba yuko kiafrica zaidi

magneto

Member
Jul 23, 2008
61
17
ivi niaje pale chelsea kila akija striker wa ukweli kum-replace drogba, anafulia mbaya toka enzi za chevi,nawasiwasi drogba yuko kiafrika zaid a.k.a kaaga kwao
 
wezekana kwani wkt grant anamleta anelka yeye akiwa kwa mataifa ya africa alisema
akirudi englnd lazima atakuwa fest eleven,na alipoletwa sheva,akatishia kuondoka eti hoo yeye hawezi kucheza mpira kama mbio za vijiti. hata kuna gossip zikasema drogba kaambiwa na babu yake asiondoke chelsea
 
heheheheh! inawezekana mkuu.. muafrica.. muafrica tu! tena kule africa magharibi.. inawezekana kaaaga kwao. lakini Drogba ni striker mzuri pia. Moyo unapata tabu sana ikitokea match ya chelsea na arsenal alafu drogba ndani.. lazima atikise nyavu ni kama ana kizizi na gooners
 
Drogba ni mchezaji mzuri lakini ni mtumwa wa kiakili anajifanya mzungu analazimisha kufunga nywele nyuma wakati ana nywele za hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom