drogba na torres,kuna nini kati yao

ngony

Senior Member
Feb 7, 2012
153
17
hivi mnajua kuwa drogba na torres hakuna aliyewahi kufunga goli mmoja wapo akiwa akiwa uwanjani. yani drogba hajawah kufunga goli torres akiwa uwanjani, labda atolewe au awe benchi. na hvyo hvyo kwa torres. je wadau wa soka mnaizungumziaje hii
 
Torres alifunga magoli mangapi wakati Drogba alipokuwa anashiriki ACN?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom