driving schools

driller

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
1,116
240
jamani hivi hawa watu wanaojuifunza keenye hizi driving schools za hapa jijini..!! Wanajifunza ufundi au wanajifunza udereva..!!? Maana yani gari za driving school za hapa town nyingi zimechoka kwelikweli... Kiasi kwamba mhitimu akitoka hapo akikutana na gari za kisasa inabidi aanze kujifunza upya... Hii si nzuri kabisa..
 
kwa hapa labda tutapishana mawazo kidogo,
nadhani ni sawa kuwa na magari ya aina ile, kwanza kumbuka ni ya kujifunzia so kugonga gonga ni lazima
vip ukiweka gari jipya itakuweje?
pia kwa ugumu wa kuendesha ile migari mibovu, ukitoka hapo ukikamata yako mpya inakua mang'anyaa...
lainii...
mtazamo wangu.
 
Mtazamo wako nao mang'anyuu! Yaani "swaki-la-jiti" whitedent si muhimu iwepo.
Ni kama vile mtu afanyae tizi beach, akija kunako tambarare kusiko na changa aaa yu'ateleza tu! Kuna jamaa alipata kazi ya gari la kunyonya maji taka/vyoo, alianza na tizi la kushinda chooni, alipopata job aaa ikawa bariida tu!
 
yale ndio fresh wanachukua mda kujua na ada inaongezeka wakileta mazuri si watajua haraka halafu wao watapataje hela? akili kumkichwa
 
Back
Top Bottom