DRIVER ZA CANON iR2016

Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
158
39
Habari wadau natafuta griver za mashine hiyo hapo juu nahitaji kuitumia kama printer kutoka kwenye pc lakini nikidownload driver zake zinakuja kama .zip zina shindwa ku execute mwenye link ambayo naweza pata hiyo software anisaidie.
Thanks in advance.
 
Kama ni ziped files,just download zip software au winrar.Daima aziji kama excutable files.
 
haina kadi yakusapoti kuprinti hiyo nandiomana haziji na software cd
 
Back
Top Bottom