DRIVER:Sheria ya kosa la kuendesha vibaya imebadilishwa?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF naomba msaada wenu leo ndugu yangu kakamatwa na traffic pale Mikocheni kwa kosa la kuendesha vibaya. kapelekwa Oysterbay Polisi akaomba aandikiwe fine alipe mara afande aliyemuleta akamwambia sheria hiyo imebadirishwa inabidi ukae ndani(Jera) kwa muda fulani then ndo wakutoe. Mimi nilifika pale nikakuta madriver kama watano(wa private car na daladala) wanaingizwa Jera kwa makosa ya kuendesha vibaya.
Cha kushangaza kabla ya kutoka aliulizwa na afande unasemaje sasa? then mtuhumiwa akasema nitaripa fine yoyote baada ya kutoka afande kachukua kama 50,000 bila hata ya risiti. Madriver wengine walibaki Jera baada ya kukosa watu wa kuwatoa.
 
ok baada ya hapo mlichukua hatua gani?jina na no ya askari mliyempa rushwa mmenakili?mngemkamatisha tu baada ya hapo nyie vipi?
 
Nimechua jina lake na na ID namba yake but kwa sababu nilikuwa nimechelewa ofcn we decided to give him mana alikuwa anazidi kutupotezea muda
 
Back
Top Bottom