Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,459
- 92,834
Usilete hoja za kitoto ukazani huu ni uwanja wa watoto, mtu yeyote ambae ni muadilifu na anaesimamia kile anachoamini mkifanya maamuzi ambayo si sahihi na yeye ndio anaetakiwa ayasimamie, kiongozi mzalendo huwa anajiuzulu siku hiyo hiyo. huyu ni mganga njaa tu hana lolote.Matola..uamuzi wa kuuza nyumba ulifanywa na baraza la mawaziri..nadhani unajua linakuwa na wajumbe gani na acha kukurupuka
Magufuri hafai kuwa Rais wa nchi hii. lakini sioni sababu ya kupoteza muda wangu kulijadiri hili kwa kuwa najuwa fika CCM haiwezi kurudi tena madarakani kwenye uchaguzi ujao hata wamsimamishe nani.