Draft Anna Kajumulo Tabaijuka for President 2015

Kwanza Mhaya, pili mjane tatu HABITAT yake haijatugusa sisi kama Watanzania kwa lolote kule UN alikokuwa anaisimamia. Sanasana amejitengenezea mradi wake wa JOHA Secondary ambao wanafunzi wa Kihaya hawa pati kizingiti kuingia kama makabila mengine
 
Ingawa unaishi karne ya 21 mawazo yako bado ni ya wakati wa stone age ... hivi hao wanaume ambao wamekuwa marais Tanzania wamefanya nini sana ambacho unafikiri mama Tibaijuka hatashindwa kufanya? Ana experience ya kutosha, mchapa kazi, na haogopi kufanya maamuzi magumu hata kama atakosana na watu fulani. Hana hata iota ya harufu ya RUSHWA .... sasa niambie kidume gani kinaweza kuwa Rais 2015?
 
eti wanawake hawana uwezo.....mngekaa kwenye matumbo na kuzaliwa kwa hao mnaowaona bora.....wengi wenu mmelelewa, mmesomeshwa kwa maandazi, uuzaji wa pombe na mama zenu ..wakati hao mnao wadhani wana uwezo wakiishia kwenye nyumba ndogo na vilabu vya pombe.......sijaona mtu mwerevu na jasiri kama mwanamke duniani

mix with yours
 
Ndio tatizo la watanzania tulio wengi, mfumo dume bado umetawala, ignorance ni ya hali ya juu, ndio maana bado tu maskini pamoja na rasimali tulizonazo. Nimesoma post nyingi ni mstari mmoja mmoja, na nyingi 95% hazijadili hoja, bali eti Dr. Tibaijuka hafai kwa sababu ni mwanamke ... ajabu sana.
 
jamani msema kweli mpenzi wa mungu nitasema kweli uwongo kwangu mwiko,HUYU MAMA PAMOJA NA ELIMU YAKE NZURI NYAZIFA ALIZOSHIKA BADO HAJAISAIDIA KABISA TANZANIA ANATOKA CHAMA LEGELEGE , ATAUNDA SERIKALI LEGELEGE
 
Hatari sana;swali la kwanza hivi huyu Mama ni mjamaa maana tumeanza kupoteana na fikra za mwenyekiti
 
jamani msema kweli mpenzi wa mungu nitasema kweli uwongo kwangu mwiko,HUYU MAMA PAMOJA NA ELIMU YAKE NZURI NYAZIFA ALIZOSHIKA BADO HAJAISAIDIA KABISA TANZANIA ANATOKA CHAMA LEGELEGE , ATAUNDA SERIKALI LEGELEGE
MWINYI, MKAPA na KIKWETE "waliwasaidia" watanzania nini kabla ya kuwa marais?
 
Huyu mama HAFAI, Wizara ya Ardhi imejaa dhuluma sasa hivi yeye akishirikiana na Katibu Mkuu Patrick Rutabanzibwa wananyanganya viwanja vya watu bila ya sababu ya msingi. wanatumia vitisho. wanadhani watakuwapo katika wizara hiyo milele. hatuna haja ya kuweka historia kuwa na Rais wa kwanza mwanamke tuna matatizo mengi ya muhimu ya kushughulikia kama nchi.
Wanafanya unyangányi wataliachia taifa mzigo mkubwa wa kesi za ardhi na serikali itatakiwa kulipa fidia watu mabilioni ya fedha ambazo itashindwa kutokana na utendaji mbaya wa hawa viongozi wa Wizara ya Ardhi.
 
Our country is still very naive to be led by a female president. What do you think a poor female Tanzanian president will do that could amicably interests Tanzanians. Don't dare to neither think nor waste your precious time promoting women. You better think of how you could feed and cloth a woman you have.

Have a good day

This comment is so insensistive. You comment as if you dont have a mother, sister, daughter or wife. I would say you are the type of a man who is still in the primitive era believing women cant do anything. For your information, women can do a lot and better things than men, we are not poor either as you indicate in bold, and women can do more than all the men have failed to do all this time when they are in the high office. You can continue to feed and cloth your wife if thats what you know how to do best, some of us dont depend on men to cloth and feed us. And i feel pity for your wife if at all you have one.
 
Back
Top Bottom