Akiweza kutamka neno "ng'ang'ana" nitampa kura yangu Anna.
As minister of lands, she has proved that she is a good executive and manager. She has turned around a ministry that was marred with corruption and mismanagement. Dr. Tibaijuka has proved to be a visionary and steadfast leader who can make tough DECISIONS. ..
hafai!mtakeni radhi huyu mama. Ni prof sio dk. Anafaa kuwa kiongozi wa nchi
<br />Acheni mfumo dume,what we need, is the person's ability to run the company whether is he/ she
Prof Anna TIbaijuka anaweza jamani kuongoza ,tuseme ukweli.Sema wasiwasi wangu ni kama amekomaa vizuri Kisiasa kuhimili Siasa na Majungu/Politics ndani ya chama cha Sisiemu,hapo ndo maana naona aliyekomaa kabisa kabisa ni lOWASSA
<br />
<br />
achen kutaka kujarib et kuwa na 1st presda mwanamke,hata spik.,.a mlikuja na kauli mbiu hiyo hiyo. Kafien mbali na wanawake wenu wanaokuwa na madaraka aafu wana2mwa na mtu kutekeleza matakwa yake.
Even the current president is a female president.
Acheni mfumo dume,what we need, is the person's ability to run the company whether is he/ she
Wacha niseme haya ni kama maneno ya wahuni wa Mtaani.
Hata kama Hatujaridhika Na utendaji Wa Rais, Sio vizuri kumkebehi.
Mbona tusijitahidi kuandika zaidi makosa yake na kumshauri afanyeje.
Mfano:
1. Tunaomba kipaumbele Kwenye umeme.
2. Tunaomba miundo mbinu ambayo itaweza kuondoa Foleni hapa Dar Es salaaam.
3. Punguza kodo Kwenye Mafuta.
4. Wabunge hawasathili posho
5. Tunaomba mkulima asaidiwe katika kuuza mazao yake katika masoko ya nje ambayo yameonekana kuwa na uhitaji mkubwa.
6. Tunaomba ukiritimba TRA na Bandarini uondolewe
7. Tunaomba Wazawa wapewe kipaombele katika ajira
8. Tunaomba Tufaidike na rasilimali zetu hasa madini.
9. Tunaomba issue ya mikataba inayahosu rasilimali za Nchi isiwe inatiwa saina na waziri husika peke yake, kuwe na some sought of public oversight committee.
10. Tunaomba Ngeleja apumzike kwasababu amechoka.
Mimi sidhani sisi kama wananchi tungekuwa tumetimiziwa mahitaji yetu muhimu tungehoji safari za rais wetu.
Kaulizeni UN-Habitat alifanya nini- Lugha rasmi ilikuwa -Kihaya! Bukoba yote ilihamia Nairobi