Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 301
Kama hii ilikuwa mbinu yao, CCM kwishneiy, eti wamemchagua mtu mwenye jina kama la aliyekuwa mbunge wa Karatu ambaye sasa ni mgombea urais wa Chadema Dr. Wilbroad Slaa kugombea jimbo hilo.
Mgombea ubunge wa CCM anaitwa Dr Willbard Slaa wakati yule original wa Chadema ni Dr. Wilbroad Slaa, tofauti ipo ndogo sana kwenye majina ya kwanza.
Sijui kama ni coincidence au ni strategies za CCM kulichukua jimbo la Karatu, kama ni strategy lazima wazo hilo ni la Makamba, kwa akili aliyonayo alidhani watu wangechanganya majina. Lakini Slaa the original si mjinga kiasi hicho kawapiga CCM chenga ya mwili.