Dr. Who: Choma Mwizi, Uwa Albino, Samehe Mafisadi-Usiguse Kanisa !!!

Mwaka huu 2012 pekee kuna zaidi ya watu 75 walichomwa moto hadharani kwa tuhuma za wizi na zaidi ya Zeruzeru 90 walipoteza viongo vyao au kuuliwa kwa kukatwa mapanga na watu ambao wengi wanajulikana, hadi sasa hakuna mtu yoyote amepelekwa mahakamani.

Hii imeonyesha wazi kuwa Judicial system ya nchi yetu haiko(Fair) sawa, kwa hiyo siwezi shangaa watu wengi kuanza kuchukua sheria mikoknoni, na hili litaendelea kama hatuwa muhimu hazitochukuliwa, pamoja nakuwa na fair system yenye uwezo wa kusikiliza wote wanaohisi maonevu

Panapo vunjwa KIOO cha Kanisa, Sheria zinafatwa (in full swing) na nguvu zote za dola. Hivi ninapo andika watu zaidi ya 200 wamewekwa ndani kwa kuvunja vioo vya kanisa la Mbagala, Hakuna hata mmoja tongea wezi na mazeruzeru tokea tupate uhuru kawekwa ndani kwa mauwaji ya aliki wasio na hatia.

Nikweli serikali haina Dini, lakini niwazi serikali (iko-influenced) inafuata ridhaa ya wengi wenye dini Fulani wanaodai ndio wasomi kutekeleza wajibu wake.

Sasa niwakati wa kuhakikisha hizi Basic Human right principles zinafuatwa kwa nguvu zote Bila kujali maslai ya kanisa pekee, bali haki kwa kila mtu, kuanzia Vikojozi Christian, Wachomaji, Wachokozi wanaozika watoto wao kwenye Makaburi ya Waislam, Mafisadi, Wauwaji wa Albino na Wachakachuaji
wa Mitiani

Kwakweli hata kama ni taarifa tu hii non sense lamentation 'ni Mungu gani anaeokoa kwa upanga au mkuki?'
 
[/QUOTE

Na misikiti mi ngapi imechomwa na lunatics????? Lethe Hoja usilete hisia na unazi!!!!!!!
 
Kwa sababu hujataka kunielewa sitaweza kuendelea kuchangia mada yako mpaka utakapojibu hoja yangu ya msingi.

We unataka tukujibu vile unavyopenda siyo kwamba unataka kuleta mada ijadiliwe, baki na unachokiamini, ila kaa ukifahamu hakuna haki isiyo na limitation na hakuna haki bila wajibu.

Una wajibu wa kuheshimu haki ya kila mwanadamu hadi wanyama siku hizi wana haki, nashangaa mtu anakwenda kuchoma banda la nguruwe kule Ruvuma bila ya kufahamu kuwa ana wajibu wa kulinda na kuheshimu haki ya yule mnyama ya kuishi.

Unaposema fisadi, muuaji Albino yote hayo unataka kujustify unachotaka kukisema, nina akili sana mkuu, I can read your mind, unataka tuwajadiki waliopelekwa mahakamani leo. Am not ready kuongelea watu wanaokuwa na jazba hadi kufikia kutaka kumchinja binadamu mwenzao kisa?

Unachoma kanisa ili? Kama umeonewa mahakama zipo mbona hamtaki kuzitumia? Why? Ona wakristu wametulia na haki itatendeka, hakika nakuapia, wale wahuni watafungwa tuu, mlisema wale sio waislamu sasa unahangaika nao sababu gani? Why? Kama wale sio waislamu why inakuuma? Si mlisema wale ni WAHUNI?

Kama unakuta umeonewa mahakama zipo, kwa nini usifuate taratibu zilizowekwa? Mnataka kuleta mambo ya enzi za kesi ya Dibagula? Unajua yule jamaa aliponea wapi?

Tujaribu kuheshimiana na kujua kuchukuliana, watu tunajisahau kuwa tuna ndugu kwenye hizi jamii? Ukute shangazi mkristo, dada kaolewa na muislamu and so on. Unataka vurugu then kesho tunaanza kuchinjana kama mahayawani. What for? Why?

Hao walioko mahakamani ni WAHUNi so let the court determine their innocence why should you be worried? Mbona mahakama hiyohiyo inamuhukumu yule dogo aliyekojolea quran? Mbona hakuna mkristo anayehangaika kupiga makelele? Si tunajua kuwa mahakama ndiyo itaamua kulingana na sheria na kanuni za nchi?

Let's preach peace jamani ili tuweze kupata wasaa wa kutafuta pesa vijana wetu wasome.

sasa mhakama mnaisifia sana,,,na vyombo vyooooote vya dola,,,kweli nyie mbayu wayu,,,nakuhakikishia haitapita miez miwili,,,jesh la polis mtaliponda na mahakama mtazikandia,,,,,asowajua nyie nani????
 
Ndiyo namshangaa na mie maana anadhani mahakamani unashtaki tu kiholela!!! Ya wachoma kanisa na mkojolea quran ipo wazi, wote ushahidi upo wasubiri kupewa haki yao!

hahahaaaa,,,kwa hiyo albino hata akikutwa hana mkono bado hakuna ushahidi?????
 
Unawajua walioua albino? mmechoma kanisa mchana kweupeeee mmeandamana mchana kweupee si ushahidi tosha msipelekwe mahakamani si mna wana sheria wenu watawatetea wale wahuni wenu. Si mmewabatiza majina wahuni wakishikwa na polisi mkiwa nao .........Wenzenu wanasota nyie mnakula kuku mkawatoe mnachezea serikari. mbona laiyekojelea kitabu chenu yupo mahakama husemi
 
Mwaka huu 2012 pekee kuna zaidi ya watu 75 walichomwa moto hadharani kwa tuhuma za wizi na zaidi ya Zeruzeru 90 walipoteza viongo vyao au kuuliwa kwa kukatwa mapanga na watu ambao wengi wanajulikana, hadi sasa hakuna mtu yoyote amepelekwa mahakamani.

Hii imeonyesha wazi kuwa Judicial system ya nchi yetu haiko(Fair) sawa, kwa hiyo siwezi shangaa watu wengi kuanza kuchukua sheria mikoknoni, na hili litaendelea kama hatuwa muhimu hazitochukuliwa, pamoja nakuwa na fair system yenye uwezo wa kusikiliza wote wanaohisi maonevu

Panapo vunjwa KIOO cha Kanisa, Sheria zinafatwa (in full swing) na nguvu zote za dola. Hivi ninapo andika watu zaidi ya 200 wamewekwa ndani kwa kuvunja vioo vya kanisa la Mbagala, Hakuna hata mmoja tongea wezi na mazeruzeru tokea tupate uhuru kawekwa ndani kwa mauwaji ya aliki wasio na hatia.

Nikweli serikali haina Dini, lakini niwazi serikali (iko-influenced) inafuata ridhaa ya wengi wenye dini Fulani wanaodai ndio wasomi kutekeleza wajibu wake.

Sasa niwakati wa kuhakikisha hizi Basic Human right principles zinafuatwa kwa nguvu zote Bila kujali maslai ya kanisa pekee, bali haki kwa kila mtu, kuanzia Vikojozi Christian, Wachomaji, Wachokozi wanaozika watoto wao kwenye Makaburi ya Waislam, Mafisadi, Wauwaji wa Albino na Wachakachuaji
wa Mitiani

Teh teh teh....jana you had a platform to express yourself yesterday. At least with police and the army about their biaseness.
 
Unawajua walioua albino? mmechoma kanisa mchana kweupeeee mmeandamana mchana kweupee si ushahidi tosha msipelekwe mahakamani si mna wana sheria wenu watawatetea wale wahuni wenu. Si mmewabatiza majina wahuni wakishikwa na polisi mkiwa nao .........Wenzenu wanasota nyie mnakula kuku mkawatoe mnachezea serikari. mbona laiyekojelea kitabu chenu yupo mahakama husemi

Waliochoma Vibaka na kuuwa albino, mbona wanajulikana? na nikazi ya serikali kuwatafuta, waliwezaje kuwatafuta waliochoma kanisa na kushindwa kuwapata wanaochoma na kuuwa binadamu wasio na hatia??

Huu ndio tunaoita mfumo kristo, unalinda makanisa zaidi kuliko kulinda haki za wanyonge, haya yana mwisho wake wanyonge watapata haki zao. na Makanisa yanayojengwa kwa pesa za ufisadi na dhulma hayato dumu.
 
Back
Top Bottom