Dr. Ulimboka yupo mafichoni, kuzungumza wakati wowote!

Akiongea kutaja watu atakuwa ana ji contradict maana ameshatuambia alifungwa macho hakuona kilichotokea.

Na wewe vipi? Wakati anaongea na yule Abeid afisa wa IKULU pale viwanja vya leaders club alikuwa amefungwa macho?

Halafu pia ukikiliza youtube, kuna wakati akiwa katika jumba walilokuwa wanamtesa alichukua gongo akaanza kupambana nao watesaji wake.

Hii imeshakula kwa JK na Kova wake AIBU YAO, AIBU YAKE.
 
mnaosema alifungwa macho acheni ujuha wakati wanamuweka chini ya ulinzi inamaana hakuwaona?, katika maelezo yake ya awali anasema kuna kipindi aliokota gongo akampiga nalo mmoja wao, aliliona na nini..... mmetumwa humu ndani au ndi akina kova na msangi
 
Sidhani kama hili litatokea, itakuja taarifa muda mchache kabla ya press conference kuanza na wataipiga stop kwa single ile ile tuliyoizoea, Hili suala liko mahakamani si vema kuliongelea hadharani kwani ni kuingilia kazi ya mahakama, Ulimboka tuletee taarifa jeshi la polisi ili zituwezeshe katika upelelezi wa hili! Serikali dhaifu imebanwa pabaya ipo siku ukweli utakuwa peupe,mkose pa kuficha sura zenu!!
 
Bora aongee ili tuujue ukweli. Maana mkenya kakamatwa kwa tuhuma za kuhusika na kumteka dokta, hadi sasa hakuna information yoyote ya kinachoendelea. Kimyaaaaa. Je huko aliko kuna ulinzi wa kutosha?
 
Ulimboka ameshatishwa au ametishika na kipigo na vitendo alivofanyiwa kule Mabwepande sidhani kama kuna cha maana atakachotaja alitakiwa alipofika Airport Amwage issue palepale hii kesho ni kuwa ameshaandaliwa cover story na mchezo utaishia hapo, wala msisubiri kwa hamu sana!!
 
Akiongea kutaja watu atakuwa ana ji contradict maana ameshatuambia alifungwa macho hakuona kilichotokea.

Mkuu baadaye walimfungua na kumfunga tena. Watesaji walikuwa na uhakika wameua!!! Na baadaye walimfungua kabisa na kumtupa porini na kesho yake akatambaa hadi jirani na barabara. Mwacheni Mungu aitwe Mungu, jina lake lihimidiwe.
 
Akiongea kutaja watu atakuwa ana ji contradict maana ameshatuambia alifungwa macho hakuona kilichotokea.

Si Kweli! Haiwezekani umfunge macho mtu kabla hujamkamata.Nilimsikia Uli kwa mdomo wake akisema alifungwa macho baada ya kufika Victoria so aliwaona na Anawajua.Kama vip Ramadhani si ajitokeze aseme hausiki.By the way hata DEO na Ramadhani wanawafahamu na waliwaona kwa macho hao wauwaji pale leaders.

Its Now in a critical condition Kinavimba any time.
 
Tumwombe Mungu ampe ujasiri na aseme kile kilichotokea.JK na Gamba lake wazidi kuumbuka. Mungu awe nawe Dr. Ulimboka.
 
Dr Ulimboka akiwasafisha wahusika kwa shinikizo au kwa hiari yake atapotea mbele ya safari ili asije akajisahau hata siku moja kwa namna yo yote ile akavujisha siri hata kwa mke wake, kisha ikavuja kwa wengine. Hiyo risk ni kubwa sana kwa wakubwa wahusika. I am sure.

Pili, akikaa kimya asiseme cho chote nayo ni tatizo zaidi, hawezi kuaminiwa muda wote, mbele ya safari sioni salama yake.

Salama yake ni mmoja tu, kusema ukweli wote kwa 100% na siyo 95% then kuishi kwake na kupotea kwake kunakuwa sawa kwa wahusika. Zaidi ya hapo mmhh!!!
 
..Serikali yangu haihusiki kuteka,kutesa na kutupa daktari porini..JK
Swali;Je ulimboka akisema inahusika,Mkulu atafanyaje?itakuwa amejidhalilisha sana
 
Hapaswi kutoa taarifa ya kuongea na waandishi, vinginevyo hawa jamaa watammaliza kama yule alokuwa kiongozi wa wafanyakazi relini!!!! Afanye kwa kustukiza tu!!!
 
Back
Top Bottom