Dr. Ulimboka ni MSALITI nambari moja

sasa kakusaliti wewe kwa lipi?

kama kuteswa aliteswa yeye
akiamua kusamehe wewe umesalitiwa vipi?

madaktari si wana viongozi wengine?
angekufa je.wangeacha kudai madai yao?

Muache atazame maslahi ya mkewe na watoto....wake

wewe kama una ukereketwa haswa endesha mapambano,hakuna aliekuzuia...
heri wewe umesema! mkuu wengine hawafahamu kwamba kuna wengine wao hupandia juu ya wenzao ili wasikike... kama hakuna mtu wa kupandia na wao hubaki chini. Hivi kwanini hawakemei kabla majambo hayajawa? wanasubiri yakitokea ndio tunawasikia... si watufundishe haki zetu kabla hatujafikwa kama kweli wanatujali
 
Yote mmesema but ni UDHAIFU WA ULIMBOKA wacha nimpende tu mke wangu na MUNGU wangu kwani ktk dunia hii hakuna kingine cha kukipenda. WAACHE WAFU WAWAZIKE WAFU WAO
 
kikuweli kabisa leo mi nachelea kusema kwamba vijana wa humu JF lazma tutafeli na haya mapambano tunayoendela nayo kwasababu siku zote tunajadili matukio tu hata cku moja cjaona watu wakijadili jinsi gani tutajikwamua namna ya kuendeleza nchi yetu kiuchumi.we fikiria mtu na akili zake timamu anakuja na tukio la kitambo watu wajadili.kwann uclete hoja labda nchi yetu ifanyenn kwenye gesi iliyovumbuliwa mtwara.
 
kashaongoea toka akiwa hospitali mnataka aongee nn tn acheni chokochoko hizo wasaliti madaktari wenzie cio yeye
 
sasa kakusaliti wewe kwa lipi?

kama kuteswa aliteswa yeye
akiamua kusamehe wewe umesalitiwa vipi?

madaktari si wana viongozi wengine?
angekufa je.wangeacha kudai madai yao?

Muache atazame maslahi ya mkewe na watoto....wake

wewe kama una ukereketwa haswa endesha mapambano,hakuna aliekuzuia...

Next time aache uanaharakati awalee watoto wake. MSALITI MKUBWA! Usiyavulie maji nguo ambayo huwezi yaoga
 
kashaongoea toka akiwa hospitali mnataka aongee nn tn acheni chokochoko hizo wasaliti madaktari wenzie cio yeye

watanzania pumbaf sana. Wako kwenye key board wanahamasisha wenzao, wakiambiwa maandamano hawaendi. Ukitrace back,hawa wote walikuwa wanawakejeli madaktari wakati wa mgomo na leo wanaulizia matokeo au feedback. Kina Kijo Bisimba waliandaa maandamano na kuhamasisha watu washiriki lakini tuliohudhuria tulikuwa wachache mno. Leo hii mtu anataka ukombozi na kuutafuta hataki.
 
sasa kakusaliti wewe kwa lipi?

kama kuteswa aliteswa yeye
akiamua kusamehe wewe umesalitiwa vipi?

madaktari si wana viongozi wengine?
angekufa je.wangeacha kudai madai yao?

Muache atazame maslahi ya mkewe na watoto....wake

wewe kama una ukereketwa haswa endesha mapambano,hakuna aliekuzuia...

i fully agree with you...achukue hela atakayopewa na serikali basi aendelee na maisha yake angalau yeye atakua ndio umaskini ameumaliza wakati madaktari wenzake wataendelea kulalamika na kuishi kimaskini siku zote
 
Dk. Uli alishasema kila kitu mnataka nini tene? Madaktari na watu wa haki za binadamu wafafanya nini baada ya maelezo yale? Watu wa kulaumiwa ni madaktari wenzake ambao walimtosa kwa kutofanyia kazi maelezo yake, je wewe ulitegemea afanye nini zaidi ya kuangalia maisha yake na familia yake
 
Yu wapi sasa? Yu wapi atueleze ukweli wa madhila aliyotendewa? Yu wapi aweke wazi majina ya watesaji na sababu zilizowafanya wamtese? Yu wapi aseme kama Msangi,RAMA AU mkenya alikuwapo matesoni mwake? Yu wapi amtaje aliyempora wallet yake? Yu wapi atoe tamko juu ya hatma ya walivyokuwa wanadai kama Madaktari? Hayupo. Kimyaaaaa. Ni msaliti.

Mwacheni kijana wa watu apumzike na kutengeneza mipango yako ya badaye. Huyu bwana aliponea chupu chupu na naamini asingependa kukutana na uchungu alioupata. Hakuna asiyependa kuishi mwacheni aishi apendavyo na sikama watu wengine wapendavyo aishi.
 
Yu wapi sasa? Yu wapi atueleze ukweli wa madhila aliyotendewa? Yu wapi aweke wazi majina ya watesaji na sababu zilizowafanya wamtese? Yu wapi aseme kama Msangi,RAMA AU mkenya alikuwapo matesoni mwake? Yu wapi amtaje aliyempora wallet yake? Yu wapi atoe tamko juu ya hatma ya walivyokuwa wanadai kama Madaktari? Hayupo. Kimyaaaaa. Ni msaliti.
jamani acheni huu upuuzi.
Unataka aseme nini zaidi ya alichokwisha sema!???????

Ingia hapa jf utafute video yake aliyoeleza kila kitu na kama unataka kujua majia zaidi tafuta nakala ya Mwanahalisi iliyopelekea kufungiwa, lipo hapa jukwaani pia.

Tatizo mnaleta mambo yale yale ya 'Serikali imesema' na sasa unataka 'ulimboka amesema'. Twambie mpaka hapa mkasa wa Dr. Ulimboka ulipofikia wewe binafsi umesaidia nini??? Walitoa namba ya M-PESA kwa ajili ya kuchangia matibabu yake, ulichangia shilingi ngapi???

Kwa kifupi ni kuwa, juhudi zake za kutetea madaktari, mateso aliyoyapata, na matatizo aliyopitia ni kielelezo tosha na kwa watanzania wenye akili timamu wanaielewa nchi yao ilivyo katili sasa kupitia kwa Dr. Ulimboka zaidi ya walivyoielewa miaka 50 iliyopita. Kama hujaelewa ni bora ukae kimya

Kesi ipo mahakamani sasa amesaliti nini? Ushahidi/maelezo yote alishatoa kule muhimbili na wengine wetu tuliyasikia. Vilevile gazeti la Mwanahalisi lilipigilia msumari wa mwisho kwenye kadhia hii. Kilichobaki ni yeye kuitwa mahakamani kutoa ushahidi wa yule mtesi wake wa Kenya! Mwacheni apumzike na wengine hatukutoa msaada wowote wakati amelazwa SA wala nauli yake!
 
Nilikua mshabiki wake,
Lakini kwa sasa nishajitoa. Naamini atakua kadakishwa zake, katulia!!
 
Yu wapi sasa? Yu wapi atueleze ukweli wa madhila aliyotendewa? Yu wapi aweke wazi majina ya watesaji na sababu zilizowafanya wamtese? Yu wapi aseme kama Msangi,RAMA AU mkenya alikuwapo matesoni mwake? Yu wapi amtaje aliyempora wallet yake? Yu wapi atoe tamko juu ya hatma ya walivyokuwa wanadai kama Madaktari? Hayupo. Kimyaaaaa. Ni msaliti.

Dk.Ulimboka ni mfano wa kuigwa, ni mfano wa mtu wa Mungu ambaye ameona maono ya hila za shetani na namna ya kumthibiti, kwa wale waliosoma kitabu cha things fall apart watamuelewa Dk Ulimboka. Okonkwo alijua katika kupinga utawala wa kikoloni alikuwa pamoja na wenzake ila baada ya kukata panga mmoja wa askari wa kikoloni aliyekuja kuzuia mkutano Okonkwo alijua wenzake watamuunga mkono ila kilichotokea wenzake walikaa pembeni, kitu kilichomfanya Okonkwo akajinyonge.

Madakatari ni weng,i wangesimama kidete kuendeleza kile Dk Ulimboka alichosimamamia Ulimboka angekuwa na nguvu. Endelea kukaa kimya ulimboka maana kimya kina nguvu, siri iliyoko moyoni mwako acha mungu afumbue, ukinyamaza Mungu ndiyo hufanya ukifanya wewe Mungu atanyamaza. wala usiseme kilichomoyoni mwako maana umeshinda.
 
Muanzisha mada umetumwa kupima upepo,kwa taarifa yako Ulimboka yuko sahihi, Need I say more!?
 
Ulimboka c mwanasiasa na naamini hana mpango wa kugombea hata udiwani! unataka aongee nini tena? hayo aliyokwisha kuongea kuna hatua zozote zimechukuliwa? kwa kipigo kile mwacheni apumzike ana mengi ya kutafakari WASALITI ni wale walioshindwa kuendeleza harakati zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom