Dr Ulimboka Kufunguka Leo:Exclusive Interview na Mliman TV

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,625
68,546
Atazungumza na Amin ANthony Mgeni-Mliman TV Saa Moja na nusu usiku,Marudio Saa tatu na nusu usiku
 
namsubiri kwa ham afunguke maana nilisikia tetesi kwamba alidaka mshiko akawatosa wenzake

ngoja nivute subila maana mnafiki atajulikana leo ............ unguruma mwanauume
 
Hana tena jipya huyo daktari, chezeya hela wewe.Keshapozwa zamani sana kwa hiyo atakachoongea hapo ni pumba tu,lakini natamani sana hata kama zingekuwa pumba angeenda kuzitolea kwenye press conference iliyojaa wahariri na sio kukimbilia Mlimani TV inayoonekana Dar tu tena hata Dar ukiwa mabondeni haishiki hiyo Mlimani TV
 
Quality Sio Nzuri Sana sema inasikika vizuri tu,Ni Audio Mp3 Clip 64kbps
 

Attachments

  • Amin Mgheni Interview Dr Uli-Mlimani TV.mp3
    1.9 MB · Views: 159

Similar Discussions

Back
Top Bottom