Dr Ulimboka ni katika watu wenye msimamo sana TZ. Mtu kama huyu ni potential sana kwa chadema. Namshauri aanze kujiandaa kuchukua jimbo alikotoka. Maandalizi lakini yanatakiwa kuanza mapema
KANUMBA ni freemason?
nyie watu mnaichukuliaje siasa? Waacheni hao wanataaluma wafanye kazi zao
kwa muda mrefu sana nimekuwa nikifikiria kuhusu huyu jamaa, ana sifa zote za kuwa kiongozi tena hayumbishwi. Kama huwa anachungulia humu JF tafadhali aufanyie kazi ushauri wetu. Ameonyesha sifa zote za kuwa kiongozi anayeonyesha njia! jamaa ni charismatic person, namshauri atafute jimbo lolote dsm ambalo ccm wanatawala, agombee akiwa cdm. Hii ni hazina! Mbowe, Slaa mchukueni huo kijana atawasaidia mno
Siungi mkono hoja!
Nashauri aendeleze harakati kwenye fani yake!
Si busara kudhani kila mwana harakati awe mwanasiasa.
Ni mtazamo wangu tu anyway!
Siku hizi watu wamelichukulia neno freemason kwa uwepesi sana. Kila anayeonekana kufanikiwa ktk jamii utasikia yule freemasons, nani kasema Mungu anafurahia kuona watu aliowaumba wanaishi maisha ya taabu kwa umasikini? Jibidishe kwa kujitambua kipaji chako au utaalamu wako Mungu anakuzidishia. Tumuache Dr. Ulimboka atibu watu na kufanya tafiti za kitaalamu ktk idara ya afya atukomboe watz kupitia huko. Napendekeza hata Dr. Bilali. Dr. Migiro, Dr. Mwakyembe, Prof. Mwandosya warudi kukata chaki waongeze wataalamu ktk nyanja zao.
Dr Ulimboka ni katika watu wenye msimamo sana TZ. Mtu kama huyu ni potential sana kwa chadema. Namshauri aanze kujiandaa kuchukua jimbo alikotoka. Maandalizi lakini yanatakiwa kuanza mapema