Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

kwa mazingira ya kawaida ICU anapelekwa mtu asiyeongea au anataka kukataa ROHO??

wangapi walikuwa kwenye hali hiyo..............................................
A%20S%20cry.gif
 
Mgonjwa anaweza kuwa anaongea lakini anahitajika kupata uangalizi wa karibu zaidi.Kwani haujaona mgonjwa anaongea baada ya muda mfupi anakata roho?Kwa Dr.Ulimboka amepigwa kwa kupindukia huwezi jua wapi ameumia kwa ndani kama na pia kuratibu matibabu yake anahitaji uangalizi wa karibu.Pili hata uhai wake upo hatarini.
Dr.Ulimboka ni mtanzania kama mimi na wewe ana haki ya kuishi vile vile.Kama wasingepiga asingekuwepo hospitalini leo.Je kulikuwa na sababu ya msingi ya kumjeruhi?Je baada ya hapo mgomo umeisha?
 
kuna tetesi kuwa hali ya Dr Ulimboka sio nzuri kwa sasa.
Tuendelee kumuombea.
Haya maelezo ya mwanajf lasikoki yanashabihiana na taarifa nilizozipata.
Amepata renal shutdown or insufficiency (figo kushindwa kufanya kazi) kutokana na sababu mbalimbali but most likely clinically itakuwa crush syndrome. Crush syndrome mara nyingi hufuatia trauma especially involving muscles. Huwa haina prognosis nzuri, really very sad.

Anaweza hitaji Hemo-Dialysis among other treatment options. Madaktari kwa sasa wanaungana na wasamaria wema kokote walipo katika nchi yetu na kwingineko ili waweze kuraise chochote pesa ili kugharamia dialysis yake na matibabu mengine.

Yeyote atakayeguswa kusaidia kwa hali na mali tafadhalini sana karibuni. Utaratibu utawekwa hadharani ili walioguswa na wenye nia ya kumsaidia waweze kufanya hivyo.

Tunamuombea kiongozi wetu Mungu amjalie na apate kupona, zaidi sana pole nyingi na Faraja zitokazo kwa Mungu wetu mponya ziende kwa familia yake Mke na watoto wake, wazazi ndugu jamaa na marafiki zake, madaktari wote na watanzania kwa ujumla, na Mungu atuunganishe katika hili na kwa haya yaliyotokea na Shetani ashindwe.
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wamemkolimba! this country this!!! zomba na wenzio u will really celebrate! zamu yenu inakuja! i hate ccm, i hate this government! i hate this president na uongozi mzima!
 
Last edited by a moderator:
Mungu mmponye mkombozi wetu kwa kuleta amani hapa kwetu. Km mpaka waingereza wanaona mambo ya gaddaffi na mubarrak kutokea tz kutokana na utawala wa dhaifu.
 
True ....ni kweli figo zimefail na madaktari wanahangaika kum stabilize....
 
kuna kitu amelishwa huyo na anaweza potea bila kuongea chochote kile inabidi kitu kifanyike mapema ukweli ndo unapotea hivyo lets only play
 
kuna kitu amelishwa huyo na anaweza potea bila kuongea chochote kile inabidi kitu kifanyike mapema ukweli ndo unapotea hivyo lets only play

Hata likitokea lile ambalo baadhi yetu hatutaki litokee ukweli ni kwamba serikali ya CCM inawajibika moja kwa moja kwa kilichomtokea.
 
Kama figo zimefail zote mbili basi tumuombee sana kwa sababu ule weusi wa sura ulikuwa unatisha sana hata akifa amekufa kishujaa ataacha legacy ya mashujaa nchi hii,EEEh mungu tunakuomba tenda miujiza
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Back
Top Bottom