zomba mbona unapingana na tamko la serikali kwamba mgomo haukuwa na madhara!Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa.
Kama ungekuwa kweli unawatetea Watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu Watanzania kwa kuhamasisha mgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.
Hana jipya!
what about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
Kwa maneno uake Dr ULIMBOKA
ametoa kauli ya kishujaa na kutia shime na hamasa katika mapambano
yanayoendelea ya kudai haki katika kuboresha huduma za afya na maslahi
ya madaktari
"Naelekea nje ya nchi kwa matibabu, nawasihi madaktari wenzangu
wanaobaki waendelee ma mapambano ya kudai haki ambayo kimsingi bado
haijapatikana, nawaomba damu yangu iliyomwagika ikawe chachu na hamasa
katika harakati hizi za kudai haki, asanteni sana"
Source: ITV HABARI
Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa.
Kama ungekuwa kweli unawatetea Watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu Watanzania kwa kuhamasisha mgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.
Ndahani ni sh 200 bil zimetumika kuleta madaktari wageni, sijui kama next month watu tutapata salary manake, kwa kufuata data mishahara ya jan - april mwaka huu tulikopewa na hata mh. zitto alilisema but ikaonekana anaongea uongo tena Mkulo alijifaragua kweli. haya yalikuwa ni matokeo ya pesa nyingi sana ambazo zilitumika katika kufanya sherehe za miaka 50 ya uhuru.Serikali imetenga mabilioni kwa ajiri ya kuajiri madaktari kutoka Iran na sijui wapi kule.,...
Ndaga Kyala.....Kyala nkota
Ukiwa umepangiwa kufa UTAKUFA TU HATA MGOMO USIWEPO..... satisfied.... ur a failure....!!! 100% & even u failed to understand nani chanzo cha mgomo... ni serikali.... Hivi madaktari wadai vifaa na maslahi kidogo sana say around tshs 21 billions increment SASA AJABU HUJUI ETI SERIKALI IMETENGA TSHS 200 kuleta madr kutoka nje..!!!!!!!!!!!!!!!!?????????? ujue hii ndio upuuzi na ww unatetea
What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
zomba mbona unapingana na tamko la serikali kwamba mgomo haukuwa na madhara!
Unaongeleaje watoto wachanga kukosa oxygen kwa sababu vifaa hakuna au vifaa vipo lakini umeme hakuna,yote haya kwa sababu kuna wachache wanaokwapua rasilimali zetu halafu tukiwakamata tunawasamehe.
mmefilisika fikra zenu, mmeshiba rushwa hata fikira zenu zinatokea tumboni...shame on you...na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa.
Kama ungekuwa kweli unawatetea watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu watanzania kwa kuhamasisha mgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.