Dr. Ulimboka azimwa

ninachojiuliza ni kua hawa watu wanasema wanafanya uchunguzi lakini wanafanya uchunguzi bila kumhoji muhusika mwenyewe...mi ndio sielewi hapo...Uchunguzi unatakiwa uanze kwa mhusika mwenyewe aeleze anachojua then waanzie lakini jamaa huu mwezi wa ngapi eti uchunguzi unaendelea wakati muhusika mwenyewe mkuu hata hajahojiwa...bongo bana
 
ulimboka kwa kwa sasa ni mtaji kwa wanasiasa majukwaani na wanaharakati katika kujipatia mafungu ya fedha kwa wafadhili,.report zao kwa sasa hazikosi jina la ulimboka.take it from me
 
ulimboka kwa kwa sasa ni mtaji kwa wanasiasa majukwaani na wanaharakati katika kujipatia mafungu ya fedha kwa wafadhili,.report zao kwa sasa hazikosi jina la ulimboka.take it from me

Kweli, si ulimuona mmoja wapo alienda kusukuma gari airport na kukaa mbele ili kwenye picha aonekana ndio kinara wa shughuli. Ile picha lazima itawekwa kwenye ripoti ya mwaka ya TGNP.
 
Kunyamaza kw Dr. Ulimboka hakumpi uhakika wala kunusuru usalama wake. Wahusika wa mpango wa kumteka wangependa hali iendelee hivi, yaani yakikudhaniadhania tu bila tamko rasmi kutoka kwa muhiska. Nahisi kuna uwezekano wa mpango wa uhakika zaidi ya ule awali maana nao wanapenda kuwa na hakika kuwa hakuna hata sikumoja akatokea mtu wa kuaniaka adharani uwazi wa tukio. Iko siku atanyamazishwa kabisa na hapo utakuwa mwisho wa sinema maana sterling atakuwa kaondoka. Namshauri aseme lililotokea. liwalo na liwe! Akiisha sema atakuwa ametua mzigo aliojitwika na itabaki kwa wasikilizaji kuchambua, wakujikosha wajikoshe, wakijitetea wajitetee, wakuamini waamini, wakupotosha waposhe lakini yeye atakuwa huru. Naamini kuwa watekaji wanamuhutaji zaidi Dr. Uli kabla hajasimulia tukio kuliko watakavyo muhitaji baada ya simulizi maana hawatakuwa na la kuzuia. Asome hii thread atafari na afanye maamuzi magumu.
 
Wewe jina lako halisi tu unalificha, hutaki bughudha kujulikana unawaza nini, unasema nini. Lakini mwenzako unamshauri afanye maamuzi magumu! ..., changanya na za kwako!
 
ukimya wake utasababisha haya mambo kuendelea siku za usoni maana watafanya kisha watawanyamazisha mwakyembe sasa hivi si waziri ndio matunda ya ukimya wake.huu ni usaliti atunze uhai kwani ataishi milele,hata asiposema bado watamuwinda tu kwani hawaamini kama anaweza kukaa kimya hadi mwisho.anyway lets wait and see.
 
Jamaa kagoma kutoa siri aliyonayo, wanahabari wanajaribu kumchokonoa aiseme. Kwa nini tusisubiri tu
 
ni juu yake kuchagua kati ya heahima na utu wake au pesa, asiposema atakuwa amewasaliti wote waliomsapoti, just too bad.

mkuu umeona mbali sana, asiposema atakuwa anaiua spirit ya huruma miongoni mwa watanzania, utafika wakati hata akiokotwa mtu kafanyiziwa, atatakiwa kujipeleka mwenyewe hospitali, kulipa na kusimamia matibabu yake mwenyewe n.k

Najilaumu mara hii, kama nilivyojilaumu kwa mwakyembe, kwa kupunguza hazina ya huruma yangu kumhurumia dr. ulimboka asiyeweza kuithamini huruma na michango yangu, manake tulichanga hata vihela kufanikisha matibabu yake ili hatimaye tuupate ukweli kutoka kinywani mwake kisha tukachimbe dawa kuutibu ugonjwa huu unaoonekana kuambukiza kwa kasi ya ajabu!

Kama yeye anamuachia mungu saa hizi haoni kama amechelewa sana kumuachia!
angemuachia kule kule mabwepande!!! angekaa huko huko msituni akutane na mungu wake!!!!
 
mwacheni ulimboka apiganie uzima wake,acheni siasa katika maisha ya watu,acheni kumtumia ulimboka kisiasa

sisi tuliopigania maisha yake kipindi rama anataka kummalizia pale moi anatuona mafala sio!!!!

Tumejitoa mpaka kuhatarisha usalama wetu kwa ajili yake, huyu ulimboka vipi!!!
 
Kama ukweli upo tume ya nini ?

habari za ulimboka zinauza sana. Watu wakikosa ukweli wanazua mambo yao. Akiwa mgonjwa walipokosa ushirikiano wa kujua aliko au maendeleo ya afya yake wakaja na habari za kwamba yuko in coma. Siku moja baadaye wakaanza kusema anafanya mazoezi ya viungo.! This is tanzanians journalism! In coma for one day!! Mkapa aliwaambia ukweli wakasema amewatukana, nyie ni wavivu!! Akili zenu zimelala kabisa!!
 
mwacheni ulimboka apiganie uzima wake,acheni siasa katika maisha ya watu,acheni kumtumia ulimboka kisiasa

Mohamedi, ikibidi kuokoa maisha yako kula nguruwe, haiwi haramu, lakini huyo nguruwe akishaokoa maisha yako anakuwa haramu, pima katikati ya mistari hiyo.
 
Hili Katibu wa Jumuhiya yetu aliliongelea kupitia vyombo vya habari ....kuwa for the time being to to the fact that the enemy(suspect of his addaption and...) is not proven dead, "we shall keep his profile low untill when we are sure of his safety, is ....that before we release him to the public and/or press conference there we need a maximum security of whch the 1st suspect ...the gov. isnt involved in his well being" ...... "being under a high time for the public desire to hear from him on the act of whatever happened to him, its a good time for the enemy to accomplish the given task to ensure his dismissal .... ahaha... " .. I recommend the same, that before he can make a press conference there shalt be an International organization to ensure his security and his whatever legal processes to be advocated ...
 
Yule ni binadamu, anaweza kutafakari na kuchukua uamuzi sahihi, issue hapa siyo madaktari kumsaliti, kishaona suala lake linatumiwa kisiasa wakati yeye ni mtaalamu. Namuunga mkono Ulimboka kwa uamuzi huo. Awaachie akina Kubenea ndo size ya majungu.

Nakuona unahangaika sana pole sana
 
Wewe jina lako halisi tu unalificha, hutaki bughudha kujulikana unawaza nini, unasema nini. Lakini mwenzako unamshauri afanye maamuzi magumu! ..., changanya na za kwako!
je una uhakika hao wahusika wanaamini kwamba jamaa atakubaliana nao moja kwa moja?watamfatilia sana na anaweza kujikuta anawindwa na kufuatiliwa mpaka kwa watu atakaokuwa anawasiliana nao kwa karibu.pili waandishi wa habari lazima watamsumbua sana tu je hao waliomtaka anyamaze watakuwa na uhakika gani kwamba hatosema chochote kwao?huoni kwamba hii itamweka hatarini zaidi pindi hao waliomtaka anyamaze wakihisi kwamba huenda siku moja akaropoka.hata hivyo yeye ndio muamuzi ila ikitokea baya lolote likamfika kabla hajasema baadhi ya watu watafurahi kwani tayari watakuwa wamesha mchukulia kama mnafiki tayari.na kama alijua kama kuna hatari wakati wa mgomo hakuwahi kuhisi kwamba ile hali ya kuwa kiongozi wa mgomo ni hatari kwake.nawasilisha.
 
Hakuna jipya hapa jamani, ni kama ya Mwakyembe tu

Ukweli ni kwamba alitekwa na strangers ambao hawajui kiundani no matter wametumwa na nani

Kibongo bongo ndio mchezo umekwisha hapo, sana kauli ya mwisho itakuwa namuachia Mungu
 
In my conviction, it's indeed a matter of good judgment for Ulimboka not to perpetuate his persecution story in that it will certainly make no significant difference regarding the incident even if he comes out publicly and implicate the government in a plot to kidnap him. This action, of course, is bound to trigger lots of criticisms from the government opponents and activists alike, especially those with an inclination to take an advantage of whatever event that presents itself as appearing to bear a negative impact on CCM. It's his responsibility, however, not to allow himself to be rushed into acting foolishly by pressure placed on him from such self-seeking people. Instead, he should calculate the outcomes so fastidiously that he don't end up completely eradicated this time. In short, it's only he along with his surrounding family people, rather than the so-called human rights campaigners, who will bear the consequences if the government flex its muscle and act viciously against him.
 
Kwani kunyamaza kutamfanya awe salama? wapo wanajua wanaishi na yupo mtu mahali anawajua
kuwa walimfanyia ubaya,mnafikiri watakaa kwa amani?Lazima watatafuta wammalize ili watulie,na
this time hawatafanya kosa na ndipo watakapotunga sababu kuwa madaktari wenzie wamemuua kwa
kuwasaliti."Dr Ulimboka think twice"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom